-
Utendaji wa kiuadui wa Israel dhidi ya Iran na muqawama na athari hasi za kijamii katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Aug 07, 2024 09:01Hali na mazingira ya kijamii katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) yapo kwa namna ambayo vitisho vya nje vitakuwa na uharibifu mkubwa na matokeo mabaya kwa jamii hiyo.
-
Bagheri: Haturuhusu usalama wa kanda hii uchezewe na Israel
Aug 07, 2024 07:57Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uamuzi wa Tehran wa kutekeleza hatua hahali, madhubuti na ya kuutia adabu utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa: Iran haitaruhusu Israel ichezee usalama wa kanda hii kwa maslahi haramu ya genge la kigaidi linalotawala huko Tel Aviv.
-
Muqawama: Kuchaguliwa Sinwar kunaonyesha Israel imeshindwa kufikia malengo yake
Aug 07, 2024 07:21Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema hatua ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kutangaza kumteua Yahya Sinwar kuwa mrithi wa Ismail Haniyah, aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya HAMAS, kwa mara nyingine tena inathibitisha kuwa, malengo ya Wazayuni ya kuwaua kigaidi viongozi wa muqawama yamegonga mwamba.
-
Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh
Aug 07, 2024 05:20Baada ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kutangaza kumteua Yahya Sinwar kuwa mrithi wa mkuu wa Ofisi yake ya Kisiasa, Ismail Haniyeh, aliyeuawa kigaidi katika mji mkuu wa Iran, Tehran Jumatano wiki iliyopita, vyombo vya habari vya Israel vimeharakia kutoa maoni kuhusu uteuzi huo na athari zake.
-
Nasrullah: Israel inaogopa majibu ya Iran, Hizbullah kwa jinai zake
Aug 07, 2024 03:22Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema misaada ya nchi za Magharibi kwa Israel ni ithibati kuwa utawala huo wa Kizayuni hauna uwezo wa kujilinda, na unatiwa kiwewe na majibu tarajiwa ya Iran na kambi ya muqawama kwa msururu wa mauaji ya kigaidi uliyoyafanya katika siku za karibu katika eneo.
-
Yahya Sinwar ateuliwa kuwa Mkuu mpya wa Kisiasa wa HAMAS
Aug 07, 2024 02:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Ismail Haniyah.
-
OIC yafanya kikao cha dharura leo kujadili mauaji ya kigaidi ya Haniyah
Aug 06, 2024 23:50Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inatazamiwa kufanya kikao cha dharura leo Jumatano mjini Jeddah nchini Saudi Arabia, kujadili mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Kisiasa wa Harakati ya Muqawama ya Palestina HAMAS.
-
Abbas: Mauaji ya Haniyah yanalenga kurefusha vita vya Gaza
Aug 06, 2024 22:57Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amesema Israel ilimuua kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Ksiasa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniyah ili kuendeleza na kurefusha vita vyake dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Iran na Russia katika mkondo wa kuimarisha ushirikiano
Aug 06, 2024 10:42Jumatatu ya jana tarehe 5 Agosti, Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Shirikisho la Russia aliwasili mjini Tehran kwa lengo la kuimarisha maingiliano na kuchunguza masuala ya kieneo, kimataifa na uhusiano wa pande mbili.
-
Takwa la Baghdad la kuondolewa wanajeshi wa Marekani kutoka Iraq
Aug 06, 2024 10:41Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq imetoa mwito wa kuainishwa ratiba na jedwali la kuondoka wanajeshi wa Marekani kutoka katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu