-
Migongano katika maneno na matendo ya Marekani mbele ya jinai za Wazayuni
Oct 11, 2024 23:18Hatua zinazochukuliwa na viongozi wa Marekani mbele ya jinai na ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa ni pamoja na kujifanya kuwa hawana taarifa yoyote kuhusu jinai hizo, ni ushahidi wa wazi wa siasa za nyuso mbili na za kindumilakuwili baina ya maneno na vitendo vya Marekani.
-
Russia yataka BRICS iunde mbadala wa IMF
Oct 11, 2024 07:02Russia ambayo ni mwenyekiti wa kiduru wa kundi la BRICS mwaka huu, imetoa wito kwa washirika wake kubuni njia mbadala ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kukabiliana na shinikizo la kisiasa kutoka mataifa ya magharibi kabla ya mkutano wa kilele wa BRICS baadaye mwezi huu.
-
Katika Siku ya Afya ya Akili Duniani, Katibu Mkuu wa UN asema: Hakuna afya bora bila afya ya akili
Oct 11, 2024 04:01Siku ya Afya ya Akili Duniani imeadhimishwa Oktoba 10 huku ikiripotiwa kuwa, mtu mmoja kati ya wanane duniani ana tatizo la afya ya akili.
-
Umoja wa Mataifa: Watoto wanakabiliwa na wimbi la ukatili
Oct 10, 2024 07:57Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, tabaka la watoto linakabiliwa na wimbi la ukatili katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.
-
Nchi za Amerika ya Kusini zaunga mkono Palestina
Oct 10, 2024 04:12Wanachama wa Muungano wa ALBA huko Amerika ya Kusini wameunga mkono muqawama wa Palestina dhidi ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni.
-
China na Russia zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 10, 2024 03:43Wawakilishi wa Kudumu wa China na Russia katika Umoja wa Mataifa wameikosoa vikali Israel kwa kushindwa kutafuta amani na kuzuia juhudi za kukomesha mauaji ya watu wa Palestina.
-
Sisitizo la Waziri Mkuu wa Uhispania juu ya jibu kali la jamii ya kimataifa kwa jinai za utawala wa Israel
Oct 10, 2024 02:28Waziri Mkuu wa Uhispania ametaja oparesheni ya kijeshi ya utawala habithi wa Israeli huko Lebanon kuwa "uvamizi" na kusisitiza kwamba jamii ya kimataifa inapasa kuchukua hatua kuhusu suala hilo.
-
Misimamo inayokinzana ya Ulaya katika vita vya Gaza: Kutoka vikwazo hadi mauzo ya silaha
Oct 09, 2024 08:00Licha ya madai yote ya nchi za Magharibi kuwa zinajaribu kuizuia Israel kuendeleza vita dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza, lakini nchi hizo hizo bado zinauuzia silaha utawala huo wa Kizayuni na hivyo kuendelea kuunga mkono na kuupa silaha za kila aina ili uendelee kuwaua kikatili watu wa Palestina na Lebanon.
-
Marekani: Hatutaki kuingia vitani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 09, 2024 03:56Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani amesema kuwa, hawezi kuzungumzia uwezekano wa uchokozi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran lakini ana uhakika kwamba Washington haitaki kuingia vitani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Erdogan: Iwe ni karibuni au baadaye, Israel italipa kwa mauaji ya kimbari inayoendeleza Ghaza
Oct 08, 2024 22:59Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, iwe iwavyo utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa kwa mauaji ya kimbari ambayo umekuwa ukiendelea kuyafanya katika Ukanda wa Ghaza kwa mwaka mmoja sasa.