-
Uchunguzi: Wanajeshi 250 wa Ukraine wako Idlib, Syria kutoa mafunzo ya kutumia ndege zisizo na rubani kwa magaidi
Sep 17, 2024 08:55Ripoti zinasema kundi la wanajeshi 250 wa Ukraine liko katika mkoa wa Idlib nchini Syria kutoa mafunzo kwa magaidi, huku kukiwa na majaribio ya Ukraine na Marekani ya kuanzisha medani mpya ya mapigano dhidi ya vikosi vya jeshi la Russia katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Responsible Statecraft: Israel inawaua kwa makusudi wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu huko Gaza
Sep 17, 2024 08:10Chombo cha habari cha Marekani kimefichua ukweli wa kutisha wa mauaji ya kimakusudi yanayofanywa na Israel dhidi ya wafanyakazi wa kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza
Sep 16, 2024 07:47Raia mmoja wa Marekani aliyejulikana kwa jina na Matt Nelson amejichoma moto katika mji wa Boston akipinga na kulalamikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Katibu Mkuu wa UN atoa indhari kuhusu hatari ya Akili Mnemba (AI)
Sep 15, 2024 08:40Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametoa indhari kuhusu Akili Mnemba au Bandia (Artifcial Intelligence) na kusisitiza kuwa endapo itaachwa bila kudhibitiwa, hatari inazosababisha zinaweza kuwa na athari kubwa kwa demokrasia, amani na utulivu.
-
Waislamu wapendekeza mgombea wa tatu katika uchaguzi wa rais Marekani
Sep 15, 2024 08:12Licha ya mgombea urais wa chama cha Democratic, Kamala Harris, kuwa na nafasi nzuri zaidi na kumtimulia kivumbi mpinzani wake wa chama cha Republican, Donald Trump, katika kura za maoni za hivi karibuni, kura za Waislamu wa Marekani sasa zimeweka kipaumbele kwa mgombea wa Chama cha Kijani, Jill Stein, ambaye anaunga mkono waziwazi kadhia ya mapambano ya Palestina na amemchagua Mwislamu kushika nafasi ya makamu wa rais iwapo atashinda.
-
Venezuela yazima njama ya CIA ya jaribio la kumuua Rais Maduro
Sep 15, 2024 08:11Wizara ya Mambo ya Ndani ya Venezuela imetangaza kuwa imezima mpango wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) wa kutaka kumuua rais wa nchi hiyo, Nicolás Maduro.
-
Medvedev: Russia ina sababu za kutumia silaha za nyuklia
Sep 15, 2024 00:20Dmitry Medvedev, Naibu Mkuu wa Baraza la Usalama la Russia, ametishia kutumia silaha zisizo za nyuklia zenye uwezo wa kuigeuza Kiev kuwa "rundo lililoyeyushwa" wakati ustahimilivu wa Moscow utakapomalizika.
-
Mwanadiplomasia wa Marekani aonya kuhusu nia ya Israel ya kuzikalia kwa mabavu nchi za Kiarabu
Sep 15, 2024 00:19Balozi wa zamani wa Marekani nchini Saudi Arabia ametahadharisha kuhusu dhamira ya kupenda kujitanua ya Israel na kusema kuwa, itikadi za kidini za Mayahudi wenye misimamo mikali zinaitaka Israel kujitanua nje ya Palestina ili kutawala nchi nyingine za Mashariki ya Kati.
-
Guterres: Baraza la Usalama limepitwa na wakati, halitendi haki, ni mfumo usio athirifu
Sep 14, 2024 05:43Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, Baraza la Usalama la umoja huo limepitwa na wakati, halitendi haki na ni mfumo usio athirifu ambao kushindwa kwake kukomesha vita vya Israel dhidi ya Ghaza kumeharibu itibari na heshima ya taasisi hiyo yote kwa ujumla.
-
Papa awataka Wakatoliki Marekani wachague 'uovu ulio afadhali kidogo' kati ya Trump na Harris
Sep 13, 2024 23:58Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewahimiza Wakatoliki nchini Marekani wakapige kura katika uchaguzi wa Novemba, akisema wanapaswa "kuchagua uovu ulio afadhali kidogo" huku akiwakosoa wagombea wote wawili wakuu wa kinyang'anyiro cha urais wa nchi hiyo.