-
UNSC yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli Ghaza, lailaumu US kwa kuipatia silaha
Aug 14, 2024 09:02Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamelaani shambulio la kinyama la hivi majuzi lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya skuli inayohifadhi Wapalestina waliolazimika kuhama makazi yao huko Ghaza na kusababisha vifo vya Wapalestina wasiopungua 100.
-
Putin aamua kusimamisha kikamilifu mazungumzo na Ukraine baada ya Kyiv kuivamia Russia
Aug 13, 2024 07:14Rais Vladimir Putin wa Russia ameamua kusimamisha kikamilu mazungumzo na Ukraine baada ya nchi hiyo kushambulia taasisi za nyuklia za Russia.
-
US: Yumkini Iran na Muqawama zikafanya 'mashambulio makubwa' dhidi ya Israel wiki hii
Aug 13, 2024 02:10Marekani imeonya kuwa Iran na Harakati za Muqawama katika eneo zinaweza kufanya "mashambulizi makubwa" dhidi ya utawala wa Israel ya kulipiza kisasi cha mauaji yaliyofanywa mwezi uliopita ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniya.
-
Juhudi zisizo na matunda za Waziri Mkuu wa Uingereza za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Aug 12, 2024 08:26Keir Starmer Waziri Mkuu wa Uingereza ameshindwa kukamilisha mapumziko ya mwishoni mwa wiki na kurejea katika jengo nambari 10 huko Downing Street kufuatia vurugu na ghasia zinazoendelea kufanywa na wafuasi wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali.
-
Borrell: EU iwawekee vikwazo mawaziri wawili wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki
Aug 12, 2024 07:40Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell ameutaka umoja huo uwawekee vikwazo mawaziri wawili wenye misimamo mikali ya chuki wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UN: Maandamano ya kupinga utalii Uhispania yanaweza yakasambaa katika eneo
Aug 12, 2024 07:15Afisa Mkuu wa Mradi wa Utalii Endelevu katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO ametahadharisha kuwa maandamano ya kupinga utalii wa halaiki ambayo yameikumba Uhispania hivi majuzi yanaweza yakaenea katika eneo zima.
-
Maandamano makubwa yafanyika kila pembe ya dunia kulaani mauaji ya kinyama katika Skuli ya Al-Tabeen, Ghaza
Aug 11, 2024 23:38Watu katika nchi na mataifa mbalimbali duniani wameandamana kulalamikia na kulaani mauaji ya kimbari na ya kinyama ya Wapalestina yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Skuli ya Al-Tabeen katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wacyprus Kusini waandamana kupinga kushamiri kuwepo kijeshi Marekani katika nchi yao
Aug 11, 2024 23:37Vyama vya upinzani katika eneo linaloendeshwa na Ugiriki la Cyprus Kusini (GCASC) vimeelezea kutoridhishwa na ongezeko la uwepo wa jeshi la Marekani, vikiashiria safari za kutembelea bandari za nchi hiyo zinazofanywa na manowari za Washington kwa kuzingatia hali inayoaendelea katika Ukanda wa Ghaza.
-
Takwa la Pakistan la kutofanya biashara ya mafuta na utawala wa Kizayuni
Aug 11, 2024 23:15Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amelaani kuuawa shahidi Ismail Haniye aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na kuelezea wasiwasi wake mkubwa alionao kuhusiana na chokochoko zinazoongezeka za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Takwa la Waislamu wa Marekani kwa Biden la kulaani ugaidi wa kiserikali wa Israel
Aug 11, 2024 10:10Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limemtaka Rais Joe Biden wa nchi hiyo ajibu na kulaani vitendo vya ugaidi wa kiserikali vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.