-
Borrell: Mauaji ya umati ya Israel Ukanda wa Gaza hayawezi kutetewa
Aug 11, 2024 07:52Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amelaani shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina waliokuwa katika Swala ya Alfajiri katika shule ya al-Tabi’in katika mji wa Gaza.
-
Russia yatungua makumi ya droni za Ukraine katika anga yake
Aug 11, 2024 07:43Russia imetungua makumi ya droni za Ukraine zilizokuwa zikiruka katika anga yake usiku wa kuamkia leo.
-
CAIR yamtaka Biden 'alaani' ugaidi wa kiserikali wa Israel
Aug 11, 2024 04:04Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limemtaka Rais Joe Biden wa nchi hiyo ajibu na kulaani vitendo vya ugaidi wa kiserikali vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
BRICS yakaribisha pendekezo la Iran kwa ajili ya mabadilishano ya fedha
Aug 11, 2024 02:35Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia ameeleza kuwa nchi wanachama wa kundi la BRICs wamekaribisha na kuunga mkono pendekezo la Iran kuhusu kubuni mifumo ya kubadilishana fedha ambayo itazifanya nchi wanachama kutohitajia mifumo ya nchi za Magharibi.
-
Hakuna mtu aliyenusurika katika ajali ya ndege Brazil
Aug 10, 2024 07:41Watu 61 wameaga dunia baada ya ndege ya abiria iliyokuwa imewabeba kuanguka nchini Brazil.
-
Uturuki yajiunga rasmi na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Aug 09, 2024 23:03Uturuki imetangaza kuwa, imewasilisha rasmi ombi la kujiunga na kesi ya Afrika Kusini iliyowasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
-
Ombi la Guterres la kutokomezwa silaha za nyuklia, siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Hiroshima
Aug 09, 2024 08:31Katika kuadhimisha mwaka wa 79 wa shambulio la bomu la atomiki lililofanywa na Marekani huko Hiroshima, Japan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ametoa wito wa kutokomezwa silaha za nyuklia duniani kote na kuahidi kwamba Umoja wa Mataifa hautaacha juhudi za kuhakikisha kwamba maafa ya siku hiyo hayarudiwi tena.
-
Muhammad Yunus ala kiapo cha kuongoza serikali ya mpito ya Bangladesh
Aug 09, 2024 06:39Mwanauchumi aliyeshinda tuzo ya amani ya Nobel Muhammad Yunus ameapishwa kuwa mkuu wa serikali ya mpito ya Bangladesh, siku tatu baada ya Waziri Mkuu Sheikh Hasina kulazimika kujiuzulu na kukimbilia nchi jirani ya India.
-
Bulgaria yapiga marufuku 'propaganda' za kueneza 'Ushoga' katika skuli na vituo vya malezi ya watoto
Aug 09, 2024 06:08Bunge la Bulgaria limeidhinisha marekebisho ya Sheria ya Taifa ya Elimu ambayo yatapiga marufuku ushajiishaji wa mahusiano ya kingono "yasiyo ya jadi" pamoja na kubadilisha kijinsia, katika maskuli na vituo vya malezi ya watoto.
-
Sanders: Wamarekani hawaungi mkono vita vya kikatili vya Netanyahu
Aug 09, 2024 04:13Seneta moja mashuhuri nchini Marekani kwa mara nyingine ametoa mwito wa kusitishwa vita mara moja katika Ukanda wa Gaza akisisitiza kuwa, wananchi wa Marekani hawaungi mkono jinai na vita vya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel dhidi ya wakazi wa eneo hilo la Palestina lililozingirwa na linalokaliwa kwa mabavu.