-
Qur'ani yavunjiwa tena heshima nchini Sweden
Apr 30, 2024 00:21Mtu mwenye msimamo mikali nchini Sweden amekivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho.
-
Wanafunzi wanaunga mkono Palestina waendelea kukamatwa Marekani
Apr 29, 2024 03:31Katika siku za hivi karibuni, polisi nchini Marekani wamewatia mbaroni wanafunzi wa vyuo vikuu wasiopungua 900 wanaoiunga mkono Palestina na wanaopinga mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu na haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza
-
Mgombea wa uchaguzi wa rais Marekani atiwa nguvuni katika maandamano ya watetezi wa Palestina
Apr 28, 2024 23:06Polisi nchini Marekani imemtia nguvuni mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka huu nchini humo ambaye alikuwa katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Washington.
-
Intelijinsia Marekani: Putin hakuamuru kuuliwa Navalny
Apr 28, 2024 23:06Jarida la Wall Street limezinukuu duru za kiintelijinsia za Marekani na kuripoti kuwa Rais Vladmir Putin wa Russia hakuagiza kuuawa mwanasiasa wa upinzani wa nchi hiyo, Alexei Navalny, aliyefia gerezani mwezi Februari mwaka huu.
-
Wasiwasi wa Russia kuhusu kusambaa zaidi ugaidi kutokea Afghanistan
Apr 28, 2024 23:05Waziri wa Ulinzi wa Russia ametangaza kuwa tishio kuu kwa Asia ya Kati ni kutoka kwa makundi ya kigaidi yenye misimamo mikali yenye makao makuu nchini Afghanistan.
-
Mjukuu wa Mandela: Afrika Kusini imepata msukumo kutokana na uthabiti wa Wapalestina
Apr 28, 2024 08:20Mjukuu wa Nelson Mandela amesema Afrika Kusini imetiwa moyo na kupata msukumo kutokana na istikama na uthabiti wa Wapalestina; na kwa sababu hiyo ikaileta hoja ya piganio lao mbele ya Jamii ya Kimataifa.
-
Mkuu wa UNRWA atahadharisha: Israel inajiandaa kufanya shambulio kubwa la kijeshi Rafah
Apr 28, 2024 08:17Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA amesema, utawala wa Kizayuni unajiandaa kwa operesheni kubwa ya kijeshi katika mji wa Rafah ulioko kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Wachambuzi: Maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani yanamuweka Biden matatani
Apr 27, 2024 08:14Duara la maandamano ya wanafunzi wa vyuo viku dhidi ya vita vya Israel katika Ukanda wa Gaza linazidi kupanuka nchini Marekani, na kusababisha mkanganyiko mkubwa katika hesabu za Israel na waungaji mkono wake.
-
Marekani ya 'kidemokrasia' yakandamiza wanachuo wanaopinga unyama wa Israel, 500 wakamatwa
Apr 27, 2024 00:04Polisi wa Marekani wamewakamata zaidi ya waandamanaji 500 wakati wa msako mkali dhidi ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina kwenye kampasi za vyuo vikuu kote nchini humo.
-
Sanders amwambia Netanyahu: Kusema kwamba umeua watu 34,000 sio chuki dhidi ya Wayahudi
Apr 26, 2024 23:06Seneta wa mrengo wa kushoto wa Marekani, Bernie Sanders, amemshambulia vikali Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, akisisitiza haja ya kutochanganya kauli za kulaani mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza na chuki dhidi ya Wayahudi.