Uganda yaongeza tahadhari ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i53460-uganda_yaongeza_tahadhari_ya_kukabiliana_na_ugonjwa_wa_ebola_sauti
Nchini Uganda hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola usiingie nchini humo kutokea nchi jirani ya DRC hasa kutokana na wimbi kubwa la wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumiminika nchini Uganda. Mwandishi wa Radio Tehran ana ripoti zaidi kutoka Kampala.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 13, 2019 13:27 UTC