Waziri Mkuu wa Uganda aitwa Bungeni kuhusu machafuko ya Afrika Kusini + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i55856-waziri_mkuu_wa_uganda_aitwa_bungeni_kuhusu_machafuko_ya_afrika_kusini_sauti
Bunge la Uganda limemwita Waziri Mkuu wa nchini hiyo Bw. Ruhakana Bungeni ili kutoa maelezo kuhusu hali ya raia wa nchi hiyo katika machafuko ya Afrika Kusini. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...
(last modified 2026-01-07T03:01:46+00:00 )
Sep 07, 2019 08:54 UTC

Bunge la Uganda limemwita Waziri Mkuu wa nchini hiyo Bw. Ruhakana Bungeni ili kutoa maelezo kuhusu hali ya raia wa nchi hiyo katika machafuko ya Afrika Kusini. Kigozi Ismail na maelezo zaidi...