Kenya yaomba msaada wa UN kupambana na majangili + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i56821-kenya_yaomba_msaada_wa_un_kupambana_na_majangili_sauti
Kenya imesalimu amri na kuuomba Umoja wa Mataifa uisaidie kukabiliana na biashara za uwindaji haramu. Serikali ya Kenya imesema, licha ya juhudi zake za kupambana na ujangili, lakini bado kazi ni pevu na inahitajia msaada wa kimataifa. Mwandishi wetu Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Oct 24, 2019 04:07 UTC