-
Rais wa Afrika ya Kati afichua sura mpya ya ukoloni
Mar 07, 2026 14:25Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amesema katika: "Diplomasia ya adhabu na vikwazo ni barakoa mpya ya ukoloni."
-
Mufti wa Libya atangaza kuunga mkono Iran katika vita vya kukabiliana na Israel, Marekani
Mar 06, 2026 08:38Wakati mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiendelea, Mufti Mkuu wa Libya ametangaza kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Niger yaguswa na mauaji ya kigaidi ya Kiongozi Muadhamu wa Iran
Mar 05, 2026 10:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Niger amelinyooshea mkono wa pole taifa la Iran kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Kiongozi wa Kiislamu Nigeria: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni vita dhidi ya binadamu wote
Mar 04, 2026 06:54Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Guinea imewaachia huru wanajeshi 16 wa Sierra Leone waliokamatwa mapema wiki hii
Feb 28, 2026 02:32Katika hatua inayolenga kupunguza mvutano, Sierra Leone imesema kuwa Guinea jana iliwaachilia huru wanajeshi na maafisa wake wa polisi 16 waliokamatwa siku ya Jumanne.
-
Polisi Kenya kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa amani mijini kipindi cha Uchaguzi Mkuu
Feb 28, 2026 02:30Idara ya Polisi ya Kenya imetangaza mipango ya kuunda vikosi maalumu cha kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa usalama jijini Nairobi na katika miji mingine mikubwa huku nchi ikielekea katika kipindi cha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.
-
UNHCR: Sudan Kusini ina wakimbizi zaidi ya 600,000
Feb 27, 2026 22:47Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema Sudan Kusini ni mwenyeji wa wakimbizi na waomba hifadhi 613,710 katika kaya 164,574 katika majimbo 29 kote nchini.
-
UN: Wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania wanarudi makwao kwa hiari, hawashurutishwi
Feb 27, 2026 03:27Afisa wa Uhusiano wa Nje wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR nchini Tanzania Bahia Egeh amesema, wakimbizi wa Burundi walioko nchini humo ambao wanarudi makwao, wanafanya hivyo kwa hiari wala hawashurutishwi.
-
Baraza la Usalama la UN lawaadhibu makamanda wa RSF kwa ukatili wa Darfur
Feb 26, 2026 23:19Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewawekea vikwazo makamanda wanne wa kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF) linalopigana na jeshi la Sudan, wanaoshukiwa kufanya ukatili dhidi ya raia ambao wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema ulikuwa na "ishara za mauaji ya kimbari."
-
Senegal inapendekeza sheria kali zaidi dhidi ya vitendo vya mahusiano ya jinsia moja
Feb 26, 2026 07:26Waziri Mkuu wa Senegal amependekeza sheria mpya itakayoongeza adhabu dhidi ya mahusiano ya jinsia moja, ambapo watakaopatikana na hatia wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka kumi jela.