-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel
Sep 09, 2024 09:36Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula amesema kuwa, Israel sio tu inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, bali pia inaharibu ardhi na vyanzo vya chakula vya Palestina.
-
Mazungumzo ya Araghchi na mwenzake wa Yemen kuhusu sisitizo la kuendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina
Sep 08, 2024 22:45Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Jamal Amer, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen ambapo pande mbili zimesisitiza juu ya udharura wa kuendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Mistari myekundu ya Hamas katika mazungumzo ya kusitisha mapigano
Sep 07, 2024 08:07Mkuu wa timu ya Hamas katika mazungumzo ya kusitisha vita vya Gaza amesisitiza masuala ya msingi na mistari myekundu ya harakati hiyo katika mazungumzo hayo.
-
Maghala ya nyuklia ya Israel tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia
Sep 06, 2024 23:00Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kikanda na wa ulimwengu mzima.
-
Sera ya kuunga mkono Palestina, kipaumbele cha serikali ya 14
Sep 06, 2024 09:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuunga mkono muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni moja ya vipaumbele vya serikali ya 14 na sehemu muhimu ya nguzo za siasa za nje za Iran.
-
Matokeo ya kujiuzulu kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni
Sep 05, 2024 23:34Kujiuzulu kwa kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya utawala wa Kizayuni wa Israel ni natija ya kushadidi hitilafu na mifarakano ya ndani kati ya jeshi na Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada.
-
Netanyahu na uafriti wake usio na kikomo wa kukwamisha mapatano katika mazungumzo ya kusimamisha vita
Sep 05, 2024 04:00Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel anaendelea kukwamisha mapatano katika mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Ghaza.
-
Azma ya Iran na Russia ya kukamilisha hati jumuishi ya ushirikiano
Sep 04, 2024 23:00Akikaribisha matamshi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu kuendelea uhusiano na Russia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema: Hati ya makubaliano jumuishi ya ushirikiano kati ya tehran na Moscow itakamilika katika siku chache za usoni.
-
Kuunga mkono Iran maamuzi ya wananchi na muqawama wa Palestina
Sep 04, 2024 09:11Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano na uamuzi wowote wa makundi ya muqawama na wananchi wa Palestina.
-
Kuongezeka harakati za kundi la al-Qaeda nchini Afghanistan
Sep 03, 2024 23:04Katika ripoti yake, jarida la Foreign Policy limedai kuwa, baada ya kundi la Taliban kutwaa tena udhibiti na madaraka nchini Afghanistan, nyayo na ishara za kundi la kigaidi la Al-Qaeda zinazidi kuonekana na kupanuka katika nchi hiyo. Jarida la Foreign Policy linasema, hilo linatokana na kuwa kundi la Taliban halifanyi juhudi kubwa kwa minajili ya kuyakandamiza makundi ya kigaidi, na hili linasababisha kupanuka wigo wa harakati za makundi kama al-Qaeda nchini Afghanistan.