-
Tathmini ya hotuba ya Rais wa Iran katika mkutano wa kuimarisha malengo ya Umoja wa Mataifa
Sep 24, 2024 08:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefafanua mitazamo ya Iran kuhusu 'Mkataba wa Mustakabali wa Kuimarisha Malengo ya Umoja wa Mataifa.
-
Kuchukua wigo mpana operesheni za muqawama za kukabiliana na vitendo vya kigaidi vya Wazayuni
Sep 23, 2024 22:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon na vikosi vya muuqawama wa Kiislamu nchini Iraq vimetekeleza operesheni kadhaa tofauti vikilenga shabaha mbalimbali za kijeshi na kiusalama katika maeneo mbalimbali yanayokaliwa kwa mabavu ambayo yamepewa jina bandia la Israel.
-
Jibu la awali la Hizbullah kwa chokochoko na uafriti wa Netanyahu
Sep 23, 2024 04:40Baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kiongozi mwenyewe wa utawala huo bandia Netanyahu kukataa kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza na badala yake kuanzisha mauaji ya kigaidi kupitia hujuma za kimtandao nchini Lebanon, hatua hiyo sio tu imekwamisha juhudi za kurejeshwa amani katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na eneo kwa jumla,
-
Kuongezeka kwa ukatili dhidi ya Waislamu Marekani
Sep 22, 2024 23:22Bunge la Seneti la Marekani limefanya kikao kuchunguza ongezeko la uhalifu wa chuki katika nchi hiyo.
-
Tathmini ya pande tofauti za safari ya Rais Pezeshkian mjini New York na kushiriki kwake katika kikao cha UNGA
Sep 22, 2024 06:33Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka leo Jumapili mjini Tehran kuelekea New York kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kushauriana na viongozi wa nchi mbalimbali watakaoshiriki kikao hicho.
-
Masomo tunayojifunza kutokana na kujitetea kutakatifu, miaka 36 baada ya kumalizika vita
Sep 21, 2024 22:48Miaka 36 imepita tangu kumalizika vita vya miaka 8 ambavyo utawala wa Baath wa Iraq uliitwisha Iran, vita ambavyo vimeacha nyuma mafunzo na ibra nyingi zilizo wazi, 4 kati ya hizo zikiwa muhimu zaidi.
-
Ulazima wa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kwa ajili ya kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni
Sep 21, 2024 03:52Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza na Lebanon zinaendelea katika kivuli cha kushindwa jamii ya kimataifa kusimamisha jinai hizo.
-
Ujumbe tofauti wa Kongamano la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran
Sep 19, 2024 22:59Kusadifiana jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuenea jihai hizo hadi Lebanon kwa kulengwa kigaidi maelfu ya raia wa nchi hiyo kumeongeza maradufu haja ya kongamano la 38 mjini Tehran kutoa kipaumbele kwa mipango ya kuimarisha umoja wa kivitendo baina ya Waislamu na kuziwezesha nchi za Kiislamu kufikia nguvu moja ya kuzuia jinai za aina hiyo.
-
Radiamali ya Iran kuhusu jinai ya utawala wa Israel ya kulipua vyombo vya mawasiliano vya pager nchini Lebanon
Sep 19, 2024 07:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani jinai ya kigaidi ya Wazayuni ya kulipua vyombo vya mawasiliano vya "pager" katika maeneo tofauti ya Lebanon na kusema jinai hiyo ni aibu kubwa kwa nchi za Magharibi hususan Marekani.
-
Iran na Russia katika njia ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 19, 2024 03:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Russia kwa madhumuni ya kuboresha mahusiano ya pande mbili.