-
Hisia na maoni tofauti yaliyotolewa kufuatia kukamatwa Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Telegram
Aug 29, 2024 23:11Kutiwa nguvuni Pavel Durov, mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji (CEO) wa mtandao wa Telegram katika uwanja wa ndege wa Paris, Ufaransa kumepokewa kwa hisia na maoni tofauti katika duru za kisiasa na vyombo vya habari duniani.
-
Shambulio kubwa zaidi kuwahi kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukingo wa Magharibi kwa miaka 22 sasa
Aug 29, 2024 03:17Jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limeanzisha operesheni kubwa ya mashambulio ya kijeshi kaskazini ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, ambayo haijawahi kufanywa mfano wake kwa kipindi cha miaka 22 sasa.
-
Uchunguzi mpya wa Amnesty International kuhusu jinai za kivita za utawala wa Kizayuni
Aug 29, 2024 00:56Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetoa taarifa na kutangaza kuwa mashambulizi ya jeshi la utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina yanapasa kuchunguzwa kama jinai za kivita.
-
Mtazamo wenye uono mpana wa Ayatullah Khamenei kuhusu namna ya kuamiliana na adui katika sera za nje
Aug 28, 2024 08:02Matamashi ya Ayatullah Khamenei katika kikao chake cha kwanza na Rais na Serikali ya Awamu ya 14 yanadhihirisha mtazamo wenye uono mpana wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu namna ya kuamiliana na adui.
-
Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi
Aug 28, 2024 01:04Katika muendelezo wa uungaji mkono wa maafisa wa Ikulu ya White House kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesisitiza azma ya Washington ya kuendelea kuuunga mkono utawala huo.
-
Holocaust ya kweli inafanyika katika Ukanda Gaza
Aug 27, 2024 09:36Ikiwa mtu anatafuta mfano halisi wa mauaji ya Holocaust, basi anapaswa kuupata huko Gaza, kwani utawala wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mbali na kuua moja kwa moja ya raia zaidi ya 40,000, pia umewaweka katika hatari ya kifo manusura wengine wa vita kuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja kwa kutumia mashinikizo mbalimbali.
-
Mwangwi wa kikanda na kimataifa wa Operesheni ya Siku ya Arubaini na shambulizi la Hizbullah ya Lebanon dhidi ya utawala wa Kizayuni
Aug 26, 2024 22:40Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imedhihirisha uwezo wake katika nyanja mbalimbali na taathira yake kieneo na kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa operesheni ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Majibu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mauaji ya "Fuad Shukr"
Aug 26, 2024 07:06Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetekeleza kwa mafanikio hatua ya kwanza ya kulipiza kisasi cha mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Fuad Shukr, aliyekuwa mmoja wa makamanda wakuu wa harakati hiyo, licha ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kujitayarisha kwa muda mrefu kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi hayp.
-
Namna utawala wa Kizayuni unavyozidi kupelekwa mchakamchaka kwenye medani ya vita ya mpaka wa kaskazini
Aug 25, 2024 22:58Kadiri vita vya Ghaza vinavyochukua muda mrefu zaidi, ndivyo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unavyozidi kupata hasara katika mpaka wa kaskazini, za maafa ya watu na ya kiuchumi.
-
Kipaumbele cha sera za kigeni za Iran; nchi jirani, eneo na muqawama
Aug 25, 2024 08:45Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa kipaumbele cha kwanza katika sera za kigeni ni nchi jirani na kipaumbele cha pili ni kupanua uhusiano na Afrika, Amerika ya Latini na Asia Mashariki.