-
Mtego wa Marekani kwa Saudi Arabia nchini Yemen
Jul 09, 2024 02:30Seyyid Abdul Malik al-Houthi, Kiongozi wa Ansarullah ya Yemen, amesema katika hotuba kwamba Marekani inajaribu kuisukuma tena Saudi Arabia katika vita vya pande zote na Yemen.
-
Ghuba ya Uajemi; nembo ya ukweli wa kihistoria usiokanushika
Jul 08, 2024 22:53Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akijibu msimamo wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusiana kuheshimiwa ardhi yote ya Iran na kutopotoshwa jina la Ghuba ya Uajemi.
-
Jumbe za uchaguzi wa rais wa Iran kwa nchi za eneo
Jul 08, 2024 03:12Duru ya pili ya uchaguzi wa 14 wa rais wa Iran ilifanyika Ijumaa iliyopita ya Julai 5 na Masoud Pezeshkian amechaguliwa kuwa rais wa 9 wa Iran.
-
Tangazo la kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Jul 08, 2024 00:11Baada ya kupita miezi minne, hatimaye serikali ya Marekani imetangaza kwamba karibuni hivi itaondoa vikosi vyake vyote vya kijeshi katika ardhi ya Niger.
-
Nukta muhimu katika ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa kikao cha Umoja wa Jumuiya za Wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya
Jul 07, 2024 08:23Katika ujumbe wake kwa mkutano wa 58 wa Jumuiya za Wanafunzi wa Kiislamu barani Ulaya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, ameashiria masuala tata ya hivi sasa ya ulimwengu na akasisitiza nafasi na taathira za wanafunzi hao katika masuala makubwa kwa kuegemea shauku, imani na kujiamini.
-
Sisitizo la kupanuliwa uhusiano wa Iran na China
Jul 06, 2024 22:54Mohammad Mokhbrr, Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais Xi Jinping wa China walikutana na kujadiliana kando ya Mkutano wa 24 wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai huko Astana, mji mkuu wa Kazakhstan.
-
Jibu kali na indhari ya mara kwa mara ya Wamagharibi kuhusu chokochoko dhidi ya Hizbullah
Jul 06, 2024 05:47Sambamba na jibu kali la Hizbullah ya Lebanon kwa operesheni za kigaidi za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Lebanon, vyanzo vya Magharibi vinaendelea kutahadharisha kuhusu matokeo ya chokochoko za kijeshi za Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwa kueleza uwezo wa kijeshi wa Hizbullah.
-
Onyo la UN kuhusu ongezeko la vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya
Jul 05, 2024 23:06Volker Turk, Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, alionya Jumatano wiki hii kuhusu kuibuka kwa vyama vya mrengo wa kulia vyenye misimamo ya kufurutu mipaka barani Ulaya na kuhatarishwa haki za wahamiaji na wakimbizi.
-
Kukiri kushindwa sera za Biden mkabala wa vita vya Gaza
Jul 05, 2024 10:12Maafisa 12 wa serikali ya Marekani ambao wamejiuzulu nyadhifa zao wakipinga na kulalamikia vita dhidi ya Gaza wamesisitiza katika taarifa yao kuwa sera za Rais Joe Biden wa Marekan mkabala wa Gaza zimefeli, na kutahadharisha kuwa kufeli kisiasa Washington mkabala wa Gaza ni tishio kwa usalama wa taifa wa Marekani.
-
Matokeo ya miezi 9 ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza
Jul 04, 2024 22:38Vita vya mauaji ya kizazi vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vimemaliza mwezi wake wa tisa na kuiingia katika mwezi wa kumi kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa wa kutofanya lolote la maana kwa ajili ya kusimamisha mauaji hayo.