-
Upinzani wa Marekani dhidi ya hatua ya nchi za Ulaya ya kulitambua taifa la Palestina
May 24, 2024 04:25Siku ya Jumatano, Ikulu ya Marekani ailitoa taarifa ya kuunga mkono kwa pande zote utawala haramu Israel na kusema kuwa Rais Biden anaamini kwamba taifa la Palestina linapaswa kuanzishwa kupitia mazungumzo na si kutambuliwa kwa upande mmoja na baadhi ya nchi.
-
Kuendelea kujiuzulu viongozi wa kijeshi na kiusalama wa Israel sambamba na kukiri kushindwa katika vita vya Gaza
May 23, 2024 23:05Mwenendo wa kujiuzulu viongozi wa kijeshi na kiusalama wa utawala wa Kizayuni unaendelea sambamba na kuendelea kushindwa utawala huo ghasibu katika vita na mauaji yake ya kimbari huko Ukanda wa Gaza.
-
Mahudhurio makubwa ya kuwaaga Mashahidi Wahudumu wa Iran
May 23, 2024 06:16Mahudhurio makubwa ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hafla ya mazishi ya shahidi Ebrahim Raisi na wenzake ambao walikufa shahidi katika ajali ya helikopta katika eneo la milimani la mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini-magharibi mwa Iran kwa mara nyingine tena yamedhihirisha mshikamano na umoja wa taifa la Iran na nia yao ya kuendeleza njia ya mapambano na muqawama.
-
Jinai baada ya jinai huko Gaza
May 23, 2024 00:49Pamoja na kuwa Netanyahu anakabiliwa na hatari ya kukamatwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na jinai kubwa za kivita anazofanya huko Gaza, lakini bado anaendelea kufanya jinai hizo bila kujali lolote kutokana na msaada na uungaji mkono mkubwa anaopata kutoka kwa Marekani.
-
Uwezo wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kikabiliana na matukio yasiyotabirika
May 22, 2024 05:00Kuanza kazi kwa awamu ya 6 ya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuainishwa tarehe 28 June kuwa tarehe ya kufanyika uchaguzi mpya wa Rais nchini kunaonyesha wazi uwezo mkubwa wa kisheria wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na matukio yanayojitokeza katika nyakati tofauti.
-
Radiamali ya jamii ya kimataifa kwa ushirikiano wa utawala ghasibu wa Israel na Marekani
May 21, 2024 22:51Wawakilishi wa Misri na Russia katika Umoja wa Mataifa wamesisitiza juu ya ulazima wa jamii ya kimataifa kukabiliana na jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Wairani wawaomboleza na kuwaaga shahidi Raisi na wenzake katika mji wa Tabriz
May 21, 2024 09:10Mamilioni ya wananchi wa Iran wameshiriki katika msafara mkubwa wa kuawaaga na kutoa heshima za mwisho kwa shahidi Ebrahim Raeisi na wenzake ambao walikufa shahidi katika ajali ya helikopta katika eneo milimani katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini-magharibi mwa Iran.
-
Ebrahim Raisi, Hossein Amir-Abdollahian; mashahidi katika njia ya kuhudumia Iran, Uislamu na Muqawama
May 21, 2024 08:44Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye asubuhi ya Jumatatu, wananchi wa Iran walikumbana na habari za kutoaminika kirahisi za kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi, Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje na viongozi wengine kadhaa aliofuatana nao, katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzghan mkoani Azerbaijan Mashariki wakiwa katika kazi ya kuhudumia na kuwatumikia wananchi.
-
Kuwatesa mateka wa Kipalestina ushahidi mwingine wa jinai za utawala wa Kizayuni
May 21, 2024 01:11Mateka wa Kipalestina walioachiliwa kutoka katika jela za utawala wa Kizayuni wamesema kuwa waliteswa kwa njia mbalimbali na utawala huo haramu wa Israel.
-
Athari na madhara ya mauaji ya kimbari kwa vyuo vikuu na shule za Ukanda wa Gaza
May 19, 2024 22:43Moja ya makundi muhimu yanayolengwa katika mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ukanda wa Gaza ni wasomi na wanafunzi wa Kipalestina.