-
Kukiri Wazayuni kuhusu uwezo mkubwa wa kistratijia wa Iran
Apr 13, 2024 22:59Viongozi wa utawala wa Kizayuni wamekiri kutokuwa na uwezo wa kukabiliana na nguvu na uwezo mkubwa wa kistratijia wa Iran.
-
Kuwa jadi Iran katika kujibu shambulio na kuongezeka harakati na mashauriano ya Wamagharibi
Apr 13, 2024 08:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu simu alizopigiwa na Annalena Baerbock, David Cameron na Penny Wong Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Uingereza na Australia.
-
Kuendelea kuimarika uhusiano wa kiuchumi wa Iran na nchi za Kiislamu
Apr 12, 2024 22:41Mkuu wa Forodha wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, biashara kati ya Iran na nchi 56 wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) mwaka 1402 Hijria Shamsiya iliongezeka kwa asilimia 19 na kufikia dola bilioni 61.
-
Mauaji ya makamanda wa Muqawama na familia zao; ujumbe na matokeo yake
Apr 12, 2024 09:15Utawala wa kizayuni wa Israel umefanya jinai nyingine na kuwauwa shahidi watoto na wajukuu wa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Kuongezeka kimataifa uungaji mkono kwa kampeni ya kususia bidhaa za Israeli
Apr 11, 2024 23:59Huku mauaji ya kimbari yakiwa yanaendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Gaza, nchi nyingi duniani zinaendelea kujiunga na kampeni ya kususia bidhaa za Israel na vilevile za makampuni mengi ya Kimarekani yanayouunga mkono utawala huo wa kibaguzi.
-
Haki halali na ya kisheria ya Iran kujibu jinai za Wazayuni
Apr 11, 2024 04:57Wawakilishi wa nchi 121 wanachama wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini New York wametoa taarifa wakilaani hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kidiplomasia na wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus Syria, na kutangaza mshikamano wao na wananchi, serikali ya Iran na familia za wahanga wa shambulio hilo.
-
Juhudi mpya za kuushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel
Apr 10, 2024 22:51Huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukuendeleza jinai dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Gaza, nchi nyingi za dunia zinajaribu kusimamisha vita vya Gaza na kuufikisha kizimbani utawala wa kutokana na jinai zake za mauaji ya kimbari. Jitihada hizo hasa zimeonekana kushika kasi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Umoja katika medani ya Muqawama ni jinamizi jipya kwa utawala wa Israel
Apr 10, 2024 08:48Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza na kukataa kukubali usitishaji vita, vikosi vya muqawama (mapambano ya Kiislamu) ndani na nje ya Palestina pia vimeongeza nguvu na wigo wa mashambulizi ya kujihami dhidi ya utawala huo katili.
-
Iran, mwenyeji anayefaa wa kuwahudumia wakimbizi
Apr 10, 2024 00:09Kupitia taarifa, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza msimamo wa serikali ya Tehran wa kuendelea kuwahifadhi kwa ukarimu wahajiri na wakimbizi huku ikikanusha madai yanayotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusiana na kushinikizwa wakimbizi na raia wa kigeni nchini.
-
Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia; nembo ya nguvu na heshima ya wanasayansi wa Iran
Apr 09, 2024 02:32Kutangazwa tarehe 20 Farvardin (tarehe 8 Aprili) katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia ni matunda ya jitihada zisizosita za wanasayansi wa Iran katika kuliletea taifa lao maendeleo ya nyuklia, sekta ambayo kila leo inakuja na mafanikio mapya.