-
Venezuela, mwathirika mpya wa sera inayojikariri ya Marekani
Jan 03, 2026 09:54Tangazo la Rais Nicolás Maduro la kuwa tayari kufanya mazungumzo na Marekani limejibiwa chini ya saa 24 baadaye kwa mashambulizi makali ya kijeshi dhidi ya Caracas, huu ukiwa ni mtindo unaokaririwa wa viongozi wa Washington.
-
Kwa nini Marekani imepoteza nafasi yake ya kimataifa?
Jan 02, 2026 23:08Gazeti la The Wall Street Journal limeandika katika ripoti yake kwamba: "Marekani imepoteza hadhi yake ya kimataifa kwa kiasi kikubwa katika miaka 25 ya kwanza ya karne ya 21, kutokana na utawala mbaya, vita vya gharama kubwa na migogoro ya ndani."
-
Onyo kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran
Jan 02, 2026 08:59Tehran imeonya kuhusu matokeo mabaya ya vitisho vya hivi karibuni vya Marekani dhidi ya mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.
-
Kwa nini kiwango cha kujiua katika jeshi la Israel kimefikia kiwango cha juu zaidi?
Jan 01, 2026 23:06Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isarel, kwa kukiri kujiua kwa makumi ya wanajeshi wake, limekubali kuwa jumla ya wanajeshi 151 wamepoteza maisha katika mwaka huu wa sasa.
-
Ujumbe wa wazi kutoka Russia kwa Marekani na Israel; sitisheni vitisho dhidi ya Iran
Jan 01, 2026 06:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amekosoa vikali vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran, na kusema jamii ya kimataifa inapinga sera hizo za vitisho.
-
Kuenea wimbi la mapambano ya umma ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi; changamoto ambayo utawala wa kizayuni haujawahi kuishuhudia
Jan 01, 2026 00:47Wachambuzi wa Kizayuni wamekiri kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na makundi mapya ya Muqawama wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Vitisho vipya vya Trump dhidi ya Iran; ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na mkataba wa Umoja wa Mataifa
Dec 31, 2025 08:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa, vitisho vya Trump dhidi ya Iran ni ukiukaji mkubwa wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Somaliland katika kitovu cha kuzingatiwa kijiopilitiki; Je Israel inataka kutia mguu katika Lango Bahari la Bab al-Mandab?
Dec 30, 2025 22:53Mataifa na asasi mbalimbali za Kiafrika, Kiarabu na Kiislamu zimepinga vikali hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland', ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili, hatua ambayo imekabiliwa na radiamali kali ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa.
-
Somaliland; nukta ya makutano ya maslahi ya kimataifa na njama za Kizayuni
Dec 30, 2025 09:07Hatua ya utawala vamizi wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la 'Somaliland, ambalo limejitenga na Somalia, kama taifa huru na lenye mamlaka kamili.imekabiliwa na radiamali kali ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa.
-
Ni kwa sababu gani Katibu Mkuu wa NATO anang'ang'ania Ulaya iendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani?
Dec 29, 2025 23:14Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Mark Rutte ameshikilia msimamo wa kutaka nchi za Ulaya ziendelee kuwa tegemezi kiulinzi kwa Marekani.