-
Kutumia vibaya Israel machafuko ya Ufaransa na kuchomwa moto Qur'ani Tukufu nchini Sweden
Jul 04, 2023 23:05Jeshi la utawala wa Kizayuni usiku wa kuamkia Jumatatu lilianzisha mashambulio makubwa dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin ya Wapalestina. Magari 150 ya kijeshi na askari 1000 wa majeshi ya polisi, magenge ya kijasusi ya Kizayuni na polisi wa mpakani wa Israel wameshiriki kwenye uvamizi huo.
-
Kikao cha 23 cha wakuu wa Jumuiya ya Shanghai mjini New Delhi na maudhui ya uanachama kamili wa Iran
Jul 04, 2023 10:17Mkutano wa 23 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai umefanyika leo kwa njia ya Intaneti na kwa uenyeji wa India. Mkutano huo umemshirikisha pia Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jinamizi la Wazayuni kufuatia kusambaratika ukiritimba wao katika nguvu ya anga
Jul 03, 2023 23:13Gazeti la Kiebrania la Maariv limeripoti kuwa uchunguzi wa duru za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel unaonyesha kuwa uwezo wa anga hususan wa ndege zisizo na rubani za harakati ya Hizbullah ya Lebanon umeongezeka ili kukabiliana na nguvu za anga za utawala huo ghasibu.
-
Ubaguzi wa rangi; Mgogoro mkubwa barani Ulaya
Jul 03, 2023 04:44Kuendelea na kushadidi sera za ubaguzi umekuwa mgogoro mkubwa wa kisiasa na kijamii barani Ulaya, kiasi kwamba katika miezi ya hivi karibuni raia wengi wa Ulaya wametoa wito wa kukomeshwa sera hizo kwa kufanya mikutano na maandamano.
-
Kufikia tamati jukumu la kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali
Jul 02, 2023 23:11Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja uamuzi wa kuhitimisha uwepo wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali (MINUSMA).
-
Kukamilika mchakato wa uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai
Jul 02, 2023 07:50Uanachama rasmi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai unatarajiwa kukamilika katika kikao kijacho cha jumuiya hiyo tarehe 4 Julai.
-
Msimamo mmoja wa Ulimwengu wa Kiislamu wa kukabiliana na dharau dhidi ya Qur'ani nchini Sweden
Jul 02, 2023 01:01Kukaririwa vitendo vya kuidhalilisha na kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika nchi ya Sweden kumekabiliwa na msimamo na upinzani mkali wa serikali, watu, wachambuzi na taasisi mbalimbali katika nchi za Waislamu na zisizo za Waislamu.
-
Mgogoro na machafuko vyaendelea nchini Ufaransa, wananchi wapinga ukatili na ubaguzi wa rangi
Jul 01, 2023 06:07Kuendelea mgogoro wa kijamii na machafuko yaliyoenea nchini Ufaransa kumeibua hisia tofauti katika ngazi ya viongozi na wanasiasa wa nchi hiyo, na katika ngazi ya Ulaya na dunia nzima kwa ujumla.
-
John Kerry na kukanusha ukweli usiopingika
Jul 01, 2023 02:24John Kerry, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani katika utawala wa Barack Obama na ambaye ni mwakilishi maalumu wa Washington katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa, amezungumzia kile amekitaja kuwa uvamizi wa kijeshi wa Russia huko Ukraine katika mahojiano na televisheni ya Ufaransa.
-
Ubaguzi wa taaluma nchini Uholanzi kutokana na hofu ya vikwazo vya Marekani
Jun 30, 2023 03:15Kufuatia uamuzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Uholanzi kwamba kampuni ya nchi hiyo kwa jina ASML inaruhusiwa kukataa kuwaajiri wafanyakazi wake kwa msingi wa utaifa na uraia wao, kampuni hiyo yenye uhusiano mkubwa wa kibiashara na Marekani, siku ya jumatatu ilitangaza kuridhishwa na uamuzi huo uliotolewa kwa maslahi yake.