-
Kuchaguliwa Kamishna Mkuu mpya wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa
Sep 10, 2022 21:55Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kuteuliwa bwana Volker Turk mwanadiplomasia wa Austria mwenye uzoefu wa muda mrefu ndani ya Umoja wa Mataifa kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na mtangulizi wake Michelle Bachelet ya Kamishna Mkuu wa umoja huo.
-
Malkia Elizabeth na urithi wa kikoloni wa Uingereza
Sep 10, 2022 06:32Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza na utawala wake wa muda mrefu wa miaka 70 kutoka 1952 hadi 2022, ambao nusu yake ilitumika wakati mataifa yaliyokuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Uingereza yalikuwa yakiendesha vita vya kujikomboa kutoka utawala kandamizi wa London, kinakumbusha urithi wa ukoloni wa nchi hiyo duniani, ambao ulidumu kwa mamia ya miaka.
-
Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio
Sep 09, 2022 21:59Wakati mwaka wa nane wa vita vilivyoanzishwa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ukiwa unaendelea kupita, Wayemen wanazidi kuongeza nguvu na uwezo wao wa kijeshi wa kumzuia adui asithubutu kuanzisha mashambulio dhidi ya nchi hiyo.
-
Taarifa ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; mzongano usiozongoka wa uzushaji tuhuma dhidi ya Iran
Sep 09, 2022 06:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani taarifa ya hivi karibuni ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ya ile inayojiita kamati ya pande nne na kusisitiza kuwa hatua zinazochukuliwa na Iran kuhusiana na visiwa vyake vitatu zinalenga kulinda mamlaka ya kujitawala ardhi yote ya taifa hili.
-
Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?
Sep 08, 2022 22:15Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Karine Jean-Pierre alitangaza Jumanne wiki hii kwamba uamuzi wa Joe Biden wa kutoitangaza Russia kuwa ni mfadhili ugaidi ni wa mwisho.
-
Mazoezi ya vikosi vya nchi kavu vya jeshi; maonyesho ya nguvu na uwezo wa Iran ya Kiislamu
Sep 08, 2022 04:53Mazoezi ya Uwezo 1401 ya jeshi la Iran yanafanyika kwa muda wa siku mbili kwa lengo la kutathmini na kuboresha kiwango cha nguvu na utayari wa kupambana wa Jkikosi cha Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na vitisho tarajiwa.
-
Kutoridhishwa Josep Borell na mwenendo wa mazungumzo ya Vienna; sisitizo la Iran la kuondolewa utata
Sep 07, 2022 21:38Mshauri wa timu ya mazungumzo ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.
-
Kukiri jeshi la Israel kwamba, lilimuua Shireen Abu Akleh
Sep 07, 2022 03:59Jeshi la utawala haramu wa Israel limekiri kwamba, Shireen Abu Akleh, mwanahabari wa Kipalestina wa Televisheni ya al-Jazeera ya Qatar aliuawa shahidi kwa kupigwa risasi na mmoja wa wanajeshi wa utawala huo.
-
Kuendelea mwenendo wa Uturuki wa kufufua uhusiano wake na Israel
Sep 06, 2022 21:52Baada ya miaka 15, sasa ndege za utawala haramu wa Israel zinaweza kufanya safari nchini Uturuki.
-
Mkusanyiko wa kulalamikia kufukuzwa nchini Ufaransa Imam wa Swala ya Jamaa
Sep 06, 2022 06:03Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu katika mataifa ya Ulaya hususan Ufaransa ungali unaendelea.