-
Mazoezi ya pili ya kijeshi baina ya Iran, Russia na China katika Bahari Hindi
Jan 23, 2022 04:25Nchi za Iran, Russia na China, Ijumaa tarehe 21 Januari zilifanya mazoezi ya pili ya pamoja ya kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Bahari Hindi chini ya kaulimbiu ya Mkanda wa Usalama wa Baraharini 2022.
-
Indhari ya Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuhusu ukosefu wa ajira nchini Afghanistan
Jan 22, 2022 23:07Shirika la Kazi Duniani (ILO) limetahadharisha kuhusu kuendelea ukosefu wa ajira miongoni mwa wananchi wa Afghanistan.
-
Kutiwa nguvuni maafisa wa ngazi za juu wa upelelezi Iraq kwa kufanya ujasusi kwa maslahi ya Mossad
Jan 22, 2022 08:25Baadhi ya duru za Iraq zimetangaza kuwa Mahakama Kuu ya nchi hiyo juzi Alhamisi iliagiza kutiwa mbaroni maafisa wanne wa ngazi ya juu wa Idara ya Intelijinsia ya nchi hiyo kwa uhalifu wa kuasisi mtandao wa kijasusi kwa maslahi ya Shirika la Ujasusi la Israel na Kitengo cha Oparesheni Maalumu cha Mossad.
-
Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani
Jan 21, 2022 23:09Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.
-
Imarati; kujitanua kwenye madhara makubwa
Jan 21, 2022 06:27Umoja wa Falme za Kiarabu au kwa jina jingeni Imarati inatekeleza siasa za kujitanua katika eneo la Asia Magharibi, siasa ambazo huenda zikawa na madhara makubwa kwa nchi hiyo.
-
Mkutano wa marais wa Iran na Russia; nchi mbili zilizo katika mkondo wa pamoja wa kimkakati
Jan 20, 2022 22:59Sayyid Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran siku ya Jumatano alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow ambapo pande mbili zimejadili masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Safari tarajiwa ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Uturuki
Jan 20, 2022 06:05Baadhi ya matukio ya miaka ya hivi karibuni yanaonyesha kuwepo mkakati maalumu wa kuanzishwa tena uhusiano wa karibu baina ya Uturuki na utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Covid-19 imeandaa mazingira ya kushadidi ukosefu wa usawa na uadilifu duniani
Jan 20, 2022 01:00Shirika la Kimataifa la Misaada ya Kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, mbali na watu katika maeneo mbalimbali ya dunia kuwa maskini zaidi katika kipindi cha tangu kuibuka maradhi ya corona, dhulma na ukosefu wa usawa nao umechukua mkondo wa kuongezeka.
-
Kuanza utekelezaji wa mkataba wa miaka 25 wa ushirikiano wa kistratejia wa Iran na China
Jan 19, 2022 05:01Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alitangaza mwishoni mwa safari yake nchini China hivi karibuni kwamba: "katika safari hiyo, pande mbili zimekubaliana kuitangaza Ijumaa iliyopita kuwa siku ya kuanza utekelezaji wa makubaliano kamili ya mashirikiano ya kistratejia baina ya nchi mbili."
-
Kukua uchumi wa Venezuela licha ya miaka kadhaa ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Jan 18, 2022 23:10Licha ya njama mtawalia za Marekani za kuhakikisha Venezuela inatengwa kieneo na kimataifa, lakini Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini ametangaza kuwa, Venezuela imerejea katika mkondo wa ustawi na kukua uchumi wake licha ya miaka kadhaa ya njama hizo za Marekani.