-
Mabadiliko ndani ya Ikulu ya White House, ni zaidi ya marekebisho madogo
May 03, 2025 22:47Kufutwa kazi kwa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa Marekani, Michael Waltz na naibu wake, Alex Wong, na kuteuliwa Marco Rubio, kama Kaimu Mshauri wa Usalama wa Taifa, kumekuwa na mwangwi mkubwa.
-
Sisitizo la Iran la kufikiwa makubaliano ya nyuklia ya haki na yenye uwiano
May 03, 2025 07:29Kufuatia kuakhirishwa duru ya nne ya mazungumzo kati ya Iran na Marekani, Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Tehran imeazimia kufikia makubaliano ya haki na yenye mlingano kuliko wakati mwingine wowote.
-
Kulaani nchi za Ulaya hatua ya Israel ya kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
May 02, 2025 22:46Huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yakiendelea na hali ya mambo katika eneo hilo kuwa mbaya zaidi, Uhispania, Ubelgiji na Ireland, nchi tatu wanachama wa Umoja wa Ulaya zimekosoa vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kukiuka usitishaji vita na kuanzisha tena mashambulizi katika Ukanda wa Gaza.
-
Utendaji tata wa Trump katika siku 100 za kwanza za urais wake
May 02, 2025 09:29Zimepita siku 100 tangu Donald Trump aingie Ikulu ya White House nchini Marekani.
-
Juhudi za Bunge la Marekani kuongeza bajeti ya silaha za nyuklia na kijeshi
May 01, 2025 23:32Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani (CBO), taasisi ya shirikisho isiyoegemea upande wowote, imetangaza kwamba ikiwa Marekani inataka kuendelea kutumia uwezo wa vikosi vyake vya silaha za nyuklia, itahitaji kuongeza bajeti yake kwa kiwango kikubwa.
-
Je, dunia itabaki kuwa mtazamaji pekee wa mauaji ya kimbari Gaza?
May 01, 2025 09:47Ukanda wa Gaza uko katika janga kubwa la kibinadamu. Katika miezi iliyopita, kushadidi mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo sambamba na mashambulizi ya mara kwa mara ya angani na nchi kavu, na vizuizi vikali vya misaada ya kibinadamu vilivvyowekwa na utawala huo wa Kizayuni vimeharibu si tu miundombinu ya msingi ya eneo hilo, bali pia vimeweka hatarini matumaini ya kuendelea kuishi kwa malaki ya raia wa Palestina.
-
Majibu ya Tehran kwa Shutuma za Uongo za Ufaransa Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Amani wa Iran
Apr 30, 2025 22:48Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeed Iravani, amewatumia barua Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea kuwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba Iran iko "katika hatua ya mwisho" ya kuzalisha silaha za nyuklia ni yasiyo na msingi na kisiasa ni hatua isiyo ya uwajibikaji. Iran haijawahi kuwa na nia ya kutafuta silaha za nyuklia na haijabadilisha sera yake ya ulinzi.
-
Oktoba 7; Netanyahu aeupuka uwajibikaji huku mgawanyiko ikishadidi Israel
Apr 30, 2025 10:06Miezi 18 baada ya Oktoba 7, 2023, bado serikali ya utawala wa Israel inakabiliwa na taathira za na operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anajaribu kuepuka uwajibikaji huku akijaribu kutupia lawama hii kubwa kwa wengine.
-
Kupanuliwa uhusiano wa Iran na Afrika ni changamoto kwa madola ya Magharibi
Apr 29, 2025 22:59Mkutano wa tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Iran na Afrika ulifanyika mjini Tehran wakati kivuli kizito cha sera za nchi za Magharibi dhidi ya Iran na Afrika kimeathiri mahusiano mengi ya kimataifa kati ya Iran na Afrika.
-
Safari ya siku moja ya Rais wa Iran nchini Azerbaijan
Apr 29, 2025 09:37Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amerejea Tehran baada ya ziara rasmi ya siku moja mjini Baku ambako alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev.