-
Masharti ya Iran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi
Mar 13, 2025 07:17Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena imekataa mazungumzo yoyote ya kulazimishwa na kusisitiza kuwa haitafanya mazungumzo kwa shinikizo na vitisho.
-
Utawala wa Trump wazidisha ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina
Mar 12, 2025 22:49Hatua ya serikali ya Marekani ya kumtia mbaroni mwanaharakati anayepinga vita na anayeunga mkono Palestina anayepata elimu nchini humo imezidisha wasiwasi kuhusu kushadidi makabiliano ya kiusalama na watetezi wa Wapalestina na vuguvugu la wanafunzi nchini Marekani.
-
Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?
Mar 12, 2025 09:02Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa.
-
Umuhimu wa uwepo wa Kikosi cha Wanamaji cha Iran katika mazoezi ya pamoja ya Usalama Baharini kwa mara ya saba
Mar 11, 2025 22:56Mazoezi ya pamoja ya Ukanda wa Usalama 2025 (Security Belt-2025), yanafanyika kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa ushiriki wa vikosi vya majini vya Iran, Russia na China.
-
Je, Afrika Kusini itasalimu amri mbele ya ubabe wa Trump?
Mar 11, 2025 04:33Kwa kuendelea msimamo wa kuingilia kati wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Afrika Kusini, serikali ya Pretoria imetangaza kuwa haitajiingiza katika diplomasia isiyo na tija ya "kupiga kelele kupitia vipaza sauti" na Marekani.
-
Je Magharibi inakabiliwa na mporomoko?
Mar 10, 2025 23:06Zilzala iliyoibuliwa na Trump kwa kujikurubisha kwa Russia ili kuhitimisha vita huko Ukraine imeambatana na chambuzi mbalimbali kuhusu suala la umoja kati ya Marekani na Ulaya.
-
Nini kinajiri hivi sasa huko Syria?
Mar 10, 2025 07:46Miezi mitatu baada ya kuanguka utawala wa Bashar al-Assad, Syria inashuhudia duru mpya ya vurugu na mivutano kati ya serikali ya mpito inayotawala nchi hiyo na makundi upinzani katika maeneo mbalimbali nchini humo.
-
Ni sababu gani zinazifanya nchi za Afrika ziamue kuitimua Ufaransa katika ardhi zao?
Mar 09, 2025 22:57Ufaransa imeanza rasmi kuondoka katika ardhi ya Senegal kwa kukabidhi kambi mbili za kijeshi zilizoko kwenye nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Indhari ya UN ya kutokea maafa ya kibinadamu Ukingo wa Magharibi kutokana na hujuma za Jeshi la Israel
Mar 09, 2025 06:09Kufuatia kuendelea hujuma za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu imetoa indhari kupitia taarifa yake kwamba uvamizi na hujuma za jeshi hilo katika eneo la kaskazini la Ukingo wa Magharibi zina madhara na maafa makubwa ya kibinadamu.
-
Mkutano wa Jeddah; licha ya kukamilisha lakini ni zaidi ya mkutano wa Cairo
Mar 08, 2025 23:05Kufanyika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiislamu huko Jeddah mara baada ya mkutano wa dharura wa mawaziri wa Mambo ya Nje na Wakuu wa Nchi za Kiarabu huko Cairo, Misri kunaonyesha ushirikiano wa pamoja wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na mpango wa kuwafukuza kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza na wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.