Uchambuzi
  • Kuendelea hatua za kimataifa dhidi ya uvamizi wa Israel

    Kuendelea hatua za kimataifa dhidi ya uvamizi wa Israel

    Mar 02, 2025 22:52

    Katika kuendeleza mapambano na kupinga jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia wametangaza kuwa watazizuia meli zilizobeba silaha kwa ajili ya Israel kuingia katika bandari za nchi hizo.

  • Ulazima wa kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan

    Ulazima wa kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan

    Mar 02, 2025 06:56

    Suala la kuheshimiwa haki za Waislamu wa madhehebu ya Shia limesisitiza katika Kongamano Kuu la Mashia na jami ya walio wachache ya kabila la Hazara nchini Afghanistan, lililofanyika mjini Kabul likuhudhuriwa na maafisa wa Taliban.

  • Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika

    Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika

    Mar 01, 2025 23:03

    Mshauri na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na Ethiopia na nchi za Kiafrika kwa ujumla.

  • Mazungumzo yaliyogubikwa na mvutano mkubwa kati ya Trump na Zelensky

    Mazungumzo yaliyogubikwa na mvutano mkubwa kati ya Trump na Zelensky

    Mar 01, 2025 10:06

    Viongozi wenye mielekeo ya Kimagharibi wa Ukraine waliipa mgongo Russia baada ya matukio ya mwaka 2014 na kuingia madarakani serikali kibaraka kwa Magharibi huko Ukraine kwa himaya na msaada wa pande zote wa nchi za magharibi hususan Marekani na Ulaya; na walitaka nchi hiyo kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) na Umoja wa Ulaya (EU) na kukata uhusiano na Russia.

  • Ulaya yakabiliwa na fedheha nyingine kutoka Marekani

    Ulaya yakabiliwa na fedheha nyingine kutoka Marekani

    Feb 28, 2025 23:27

    Ikiwa ni katika mwendelezo wa fedheha dhidi ya Ulaya, Marco Rubio, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amefuta mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika kati yake na Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya.

  • Uanachama wa Nchi za Afrika katika ECO: Fursa ya kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi

    Uanachama wa Nchi za Afrika katika ECO: Fursa ya kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi

    Feb 28, 2025 12:07

    Kuongeza ushirikiano na kupanua mahusiano katika nyanja mbalimbali za uchumi ni miongoni mwa malengo makuu ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO).

  • Sera za kinafiki za Marekani kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia

    Sera za kinafiki za Marekani kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia

    Feb 27, 2025 23:11

    Katika taarifa yake mpya kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia, Waziri wa Nishati wa serikali ya Marekani, Chris Wright, amesema kutokana na Marekani kuwa kinara katika masuala ya akili mnemba (artificial intelligence) na ili kuwashinda wapinzani katika teknolojia hii, nchi yake inahitaji kusambaza umeme kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika na vya bei nafuu kama vile nishati ya nyuklia.

  • Israel inakusudia nini kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria?

    Israel inakusudia nini kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria?

    Feb 27, 2025 06:28

    Utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatano Februari 26 ulishambulia mara kadhaa maeneo mbalimbali ya Syria na kuua na kujeruhi watu kadhaa.

  • Mashtaka dhidi ya utawala wa Biden katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu

    Mashtaka dhidi ya utawala wa Biden katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu

    Feb 26, 2025 23:06

    Taasisi ya "Demokrasia kwa ajili ya Ulimwengu wa Kiarabu Sasa" (DAWN), imefungua mashtaka dhidi ya Rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden na mawaziri wake wawili yaani waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Anthony Blinken na waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo Lloyd Austin katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ikiitaka ianzishe uchunguzi dhidi ya viongozi hao kutokana na kusaidia uhalifu wa kivita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.