-
Kura ya Marekani ya kupinga azimio la kuilaani Russia katika Umoja wa Mataifa
Feb 26, 2025 03:22Hatua ya Marekani ya kutopigia kura azimio la kuilaani Russia kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, imezusha makele mengi.
-
Jumuiya ya ASEAN na udharura wa kusaidia kutatua mgogoro wa Waislamu wa Rohingya
Feb 25, 2025 22:47Sambamba na mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Mashhauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mataifa ya Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN) huko Langkawi, Malaysia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo amesisitiza dhamira ya Kuala Lumpur kama mwenyekiti wa zamu wa umoja huo juu ya kutatuliwa mgogoro wa Myanmar na kurejesha amani ya nchi hiyo.
-
Uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Maziwa Makuu
Feb 25, 2025 10:21Huku vikosi vya waasi wa M23 vikiendelea kusonga mbele katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kumeongeza hatari ya kutokea vita vya pande zote katika eneo la Maziwa Makuu Afrika.
-
Kuendelea kupiga kambi kwa nguvu na satua msafara wa Manowari za Jeshi la Wanamaji la Iran katika maji ya kimataifa
Feb 25, 2025 00:34Admirali Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa Msafara wa Manowari Nambari 5 za jeshi hilo umepiga kambi katika eneo la maji ya kimataifa.
-
Mafanikio ya kimkakati uliyopata Muqawama wa Lebanon chini ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Feb 24, 2025 07:51Jana Jumapili Februari 23 yalifanyika mjini Beirut, Lebanon mazishi ya Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahi, kwa kuhuhudhuriwa na zaidi ya watu milioni moja. Suali muhimu linaloulizwa na wengi ni: Kuna mafanikio gani ya kimkakati ambayo Muqawama wa Lebanon umepata katika kipindi cha miaka 33 ya uongozi wa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah?
-
Je, unaujua mtazamo wa Iran kuhusu uhusiano na nchi za Afrika?
Feb 23, 2025 23:39Mohammad Reza Aref, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na wakuu wa balozi za nchi za Afrika zilizopo mjini Tehran kwamba: Kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara na bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vya siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kutimuliwa wanajeshi wa Ufaransa katika nchi ya sita ya Afrika
Feb 23, 2025 07:34Siku ya Alkhamisi, Februari 20, 2025, wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa walitimuliwa katika kambi yao pekee ya kijeshi nchini Ivory Coast.
-
Kufichuka nia halisi ya utawala wa Kizayuni nchini Syria
Feb 22, 2025 23:11Kimya na kutochukua hatua yoyote watawala wapya wa Syria vimeufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ufikirie kuyatwaa kabisa maeneo mapya yaliyokaliwa kwa mabavu nchini Syria.
-
Kilele cha utayarifu wa Jeshi la Iran kwa ajili ya kukabiliana na tishio la adui
Feb 22, 2025 04:44Pembezoni mwa hatua ya mwisho ya mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Mtume Mtukufu wa 19 (SAW) ya Vikosi vya Jeshi la Nchi Kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Meja Jenerali Mohammad Bagheri, Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu viko katika kilele cha utayarifu.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump na sisitizo lake la kuendeleza sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Feb 21, 2025 23:00Akirejelea siasa zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amedai kuwa, siasa hizo zinalenga kuleta amani na kwamba Washington haitairuhusu Iran na nchi nyingine kupata silaha za nyuklia.