-
Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa
Jan 08, 2025 12:07Kufuatia kauli za Rais wa Ufaransa kwamba nchi za Afrika zimesahau kuishukuru Paris kwa kushiriki katika kile anachosema ni 'mapambano dhidi ya ugaidi' katika eneo la Sahel, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad amekosoa maneno hayo na kuyalaani.
-
Mashtaka dhidi ya askari wa Kizayuni duniani
Jan 07, 2025 23:05Kufuatia kutoroka askari wa jeshi la Kizayuni kutoka Brazil na kuwasilishwa malalamiko na mashtaka mengi katika nchi zisizopungua 10 za dunia, kumewekwa mbinyo wa safari za nje za askari wa Kizayuni na shughuli zao katika mitandao ya kijamii.
-
Mashinikizo kwa serikali ya Iraq ya kuvunja Hashd al-Shaabi
Jan 07, 2025 07:20Mashinikizo ya kigeni hususan kutoka Marekani yameongezeka kwa serikali ya Iraq ili kuivunja Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.
-
Onyo kuhusu athari za kiusalama za mpasuko wa anga ya kisiasa ya Marekani
Jan 06, 2025 23:10Tovuti ya mtandao wa televisheni ya Marekani NBC imeandika katika ripoti yake kuhusu suala la kushamiri itikadi kali katika anga ya mtandaoni, ikionya kuhusu madhara ya usalama ya mpasuko wa nga ya kisiasa ya Marekani.
-
Ni zipi njama mpya za Uzayuni dhidi ya Iraq na kanda hii?
Jan 06, 2025 10:44Nouri al-Maliki kiongozi wa Muungano wa Serikali ya Sheria wa Iraq ametahadharisha juu ya mpango wa kutaka kuligawa eneo la Asia Magharibi na njama dhidi ya Iraq.
-
Kuendelea misaada ya silaha ya Marekani kwa Israel
Jan 05, 2025 23:32Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza zinaendelea kwa kuungwa mkono wa nchi za Magharibi hususan Marekani.
-
Kukosolewa mauaji ya umati ya Israel katika Ukanda wa Gaza
Jan 05, 2025 09:01Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kwa ajili ya kuchunguza hali ya Gaza kilifanyika kwa mara nyingine tena. Ukitoa Marekani, washiriki wengine wa mkutano huo wamekosoa "mauaji ya kimbari" ya Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza.
-
Sababu za Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina kufuata muelekeo sawa na wa utawala wa Kizayuni dhidi ya HAMAS
Jan 05, 2025 00:02Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeendelea kufuata muelekeo sawa na wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa kutoa amri ya kufungwa Chaneli ya Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar huko Ramallah.
-
Malengo ya Marekani ya kuongeza harakati za kijeshi kwenye mpaka wa Iraq na Syria
Jan 04, 2025 09:07Vyanzo vya Iraq vimeripoti kuhusu kuweko harakati kubwa za kijeshi za Wamarekani kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria na muendelezo wa uhamishaji wa vifaa na zana za kijeshi kwenye vituo vyao huko Iraq.
-
Uchunguzi wa jinai za askari wa Uingereza; ni wa kweli au kiini macho?
Jan 03, 2025 23:28Gazeti la The Guardian limeandika kuwa, Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imetangaza kuwafungulia mashtaka askari 9 wa kikosi maalumu cha jeshi la nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya jinai za kivita nchini Syria na kwamba limeanzisha uchunguzi wa kimahakama dhidi ya mwanajeshi mwingine kwa tuhuma za kufanya jinai nchini Afghanistan.