-
Sababu na malengo ya utawala wa Kizayuni ya kutishia kuishambulia Iraq
Nov 25, 2024 22:58Baada ya mauaji ya kimbari huko Gaza na jinai dhidi ya Lebanon na pia mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya Syria, hivi karibuni utawala wa Kizayuni umeitishia kuishambulia kijeshi Iraq.
-
Siku ya Kimataifa ya Marufuku ya Ukatili Dhidi ya Wanawake sambamba na hali ya kusikitisha ya wanawake wa Gaza
Nov 25, 2024 10:40Leo tarehe Novemba 25 ni Siku ya Kimataifa ya Kupiga Marufuku Ukatili dhidi ya Wanawake. Hii ni katika hali ambayo wanawake katika nchi nyingi za dunia bado wako chini ya ukandamizaji, dhulma na unyanyasaji, hali ambayo ni mbaya zaidi katika maeneo ya vita kama Ukanda wa Gaza.
-
Kukata tamaa kwa utawala wa Kizayuni dhidi ya makundi ya muqawama
Nov 25, 2024 01:08Licha ya uungaji mkono wa pande zote wa Ikulu ya White House kwa Tel Aviv, utawala wa Kizayuni hauna uwezo wa kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon katika vita hivyo.
-
Utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), mtihani kwa Wamagharibi
Nov 24, 2024 10:24Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa utekelezaji na kushikamana nchi za Magharibi na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuwakamata viongozi wa utawala wa Kizayuni ni mtihani wa kupima azma na uwajibikaji wa Wamagharibi kuhusu hukumu hiyo.
-
Kukiri nchi za Ulaya kuhusu mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Nov 23, 2024 07:40Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) baada ya miezi kadhaa ya utafiti na uchunguzi imetoa hukumu ya kukamatwa Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, Waziri Mkuu na Waziri wa Vita wa zamani wa utawala katili wa Israel kwa kutenda jinai za kivita huko Ukanda wa Gaza.
-
Hasira isiyo na mfano wake dhidi ya Wazayuni barani Ulaya
Nov 22, 2024 23:59Jinai za kutisha zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita zimekuwa na natija muhimu duniani hususan katika fikra za raia wa nchi za Magharibi, ambapo zimefichua sura halisi ya jinai na ubaguzi unaofanywa na utawala bandia wa Israel.
-
Radiamali ya Iran kwa azimio la nchi tatu za Ulaya kwa Bodi ya IAEA
Nov 22, 2024 09:11Nchi tatu za Ulaya zimewasilisha mswada wa azimio kwa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ambapo zimeituhumu Iran kuwa haiweki wazi shughuli zake za nyuklia.
-
Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani na siku za huzuni kwa watoto wa Gaza na Lebanon
Nov 21, 2024 08:59Siku ya Kimataifa ya Watoto imeadhimishwa duniani huku mauaji ya watoto wa Gaza na Lebanon yanayofanywa na utawala wa Kizayuni yakiendelea bila huruma, suala ambalo pia limeibua wasiwasi kwa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF.
-
Marekani yapinga tena azimio la kusitisha mapigano Gaza
Nov 21, 2024 07:27Ikiwa ni katika muendelezo wa uungaji mkono wake mkubwa kwa utawala ghasibu wa Israel, mapema siku ya Jumatano Novemba, Marekani ilipinga tena rasimu ya azimio la wanachama 10 wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililotaka usitishaji vita wa mara moja, usio na masharti na wa kudumu huko Gaza na kuachiliwa huru mateka wote.
-
Mpasuko na mgogoro mkubwa katika baraza la mawaziri la Netanyahu kutokana na baraza hilo kushindwa kukabiliana na makundi ya muqawama
Nov 21, 2024 00:57Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel linakabiliwa na mgogoro mkubwa usio na mfano wake kufuatia kuendelea vita vya Gaza na Lebanon na kushindwa jeshi la utawala huo kukabiliana na makundi ya muqawama ya Palestina na Lebanon.