-
Uwezekano wa kusitishwa mapigano kusini mwa Lebanon
Oct 31, 2024 22:44Vyanzo vya Kizayuni, Marekani na Lebanon vimezungumzia kufikiwa makubaliano ya awali ya kusimamisha vita kusini mwa Lebanon, lakini kwamba bado kuna shaka kuhusu kiwango na njia za kufanikisha makubaliano hayo.
-
Umuhimu na matokeo ya kuchaguliwa Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah nchini Lebanon
Oct 31, 2024 09:45Miwezi mmoja baada ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imemchagua Sheikh Naim Qasim kuwa Katibu Mkuu mpya wa harakati hiyo ya muqawama.
-
Ubunifu mpya wa kisheria wa Afrika Kusini katika kuwatetea Wapalestina
Oct 31, 2024 07:36Kuendelea mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kumeifanya timu ya wanasheria wa Afrika Kusini kuwasilisha kesi inayokaribia kurasa 5,000 dhidi ya utawala katili wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Malengo ya utawala wa Kizayuni katika hatua yake mpya dhidi ya UNRWA
Oct 30, 2024 23:00Hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupiga marufuku shughuli za UNRWA imekabiliwa na radiamali kali za kimataifa.
-
Malalamiko ya wajumbe wa Baraza la Usalama dhidi ya ushirikiano wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Oct 30, 2024 06:35Katika kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika karibuni kwa ajili ya kijadili suala la hujuma ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, nchi nyingi zikiwemo Algeria, China, Russia, Iraq na Syria zimelaani vikali kitendo hicho cha uchokozi na kutaka uchokozi huo ukomeshwe mara moja.
-
Jeshi lililochoka na kukimbia walowezi; mafanikio ya Netanyahu katika vita vya Lebanon
Oct 29, 2024 22:56Utawala wa Kizayuni ulioanzisha vita dhidi ya Lebanon kama ulivyotangaza kwamba ni kwa lengo kuwarejesha walowezi katika nyumba zao, hivi sasa unakabiliwa na ongezeko la walowezi wanaokimbia makazi yao, askari waliochoshwa na vita na majeruhi wengi.
-
Kushiriki Marekani kwa 70% katika jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 29, 2024 04:20Takwimu rasmi za makadirio zilizochapishwa zinaonyesha kuwa, Marekani imetoa zaidi ya dola bilioni 22 za silaha na misaada ya kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita.
-
Kuongezeka hitilafu na nyufa ndani ya utawala wa Kizayuni kufuatia kuendelea vita vya Gaza
Oct 28, 2024 22:50Kuendelea vita vya Gaza, kumezidisha malalamiko na hitilafu huko Tel Aviv kadiri kwamba sasa viongozi wa Kizayuni wanatuhumiana wao kwa wao kwa kusema uwongo.
-
Mifano ya makosa ya kimahesabu yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni kuhusu nguvu na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 28, 2024 06:17Akizungumza jana Jumapili mjini Tehran, na familia za Mashahidi wa Usalama, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya makosa makubwa ya kimahesabu kuhusu Iran na kusisitiza kuwa utawala huo unapaswa kuadhibiwa na kufahamishwa nguvu, irada na ubunifu wa taifa la Iran na vijana wa nchi hii.
-
Kuongezeka uhasama na chuki dhidi ya Waislamu barani Ulaya
Oct 28, 2024 03:28Kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya ukatili dhidi ya Waislamu katika nchi mbalimbali za Ulaya kumewatia wasiwasi viongozi wengi wa nchi za bara hilo juu ya matokeo ya mwenendo huo.