-
Kudumishwa uwezo wa Hizbullah wa kuzuia hujuma za adui licha ya kuuawa viongozi wake
Oct 27, 2024 08:16Ushahidi uliopo ikiwa ni pamoja na utawala huo kueleza hamu yake ya kutaka kusimamisha vita kusini mwa Lebanon unaweka wazi uhakika huu kwamba harakati ya muqawama ya Hizbullah imeweza kudumisha uwezo wake wa kukabiliana na kuzuia mashambulizi ya adui dhidi yake licha ya kuuliwa viongozi wake.
-
Uongo wa Wazayuni kuhusu takwimu na matokeo ya vita
Oct 26, 2024 22:52Viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa makusudi na kufuatia kushindwa kukabiliana na oparesheni za kishujaa za makundi ya Muqawama, unaficha ukweli wa mambo kuhusu vita vya Gaza.
-
Mkakati wa Israel: Mashambulizi hafifu, kukuza na kutia chumvi kwenye vyombo vya habari
Oct 26, 2024 07:41Wakati utawala wa Kizayuni wa Israel ukidai kuwa umeshambulia maeneo 20 nchini Iran, wachambuzi wa mambo wanasema kuwa shambulio hilo lililofanyika mapema leo halilingani hata kidogo na Opereshen Ahadi ya Kweli-2 (Operation 'True Promise 2) iliyotekelezwa na Iran dhidi ya utawala huo katili majuma kadhaa yaliyopita.
-
Holocaust ya Israel na Marekani kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Oct 25, 2024 23:38Hata kama mpango wa majenerali wa utawala ghasibu wa Israel wa kuwaondoa kabisa Wapalestina kaskazini mwa Ukanda wa Gaza haujafanikiwa, lakini utawala huo unashirikiana kwa karibu na Marekani kutekeleza mauaji ya umati ya holocaust katika eneo hilo.
-
Mikutano ya Pezeshkian katika kikao cha BRICS na sisitizo la Iran la kuzingatiwa mitazamo ya pande kadhaa katika mfumo wa kimataifa
Oct 25, 2024 03:03Pambizoni mwa mkutano wa wakuu wa nchi za BRICS huko katika mji wa Kazan nchini Russia, Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi shiriki ambapo amesisitiza haja ya kuzingatiwa mitazamo ya pande kadhaa katika mfumo wa kimataifa.
-
Sababu za kushindwa utawala wa Kizayuni huko Lebanon
Oct 24, 2024 23:07Ikiwa zimepita siku 32 tangu utawala wa Kizayuni uanzishe mashambulizi makubwa na ya pande zote dhidi ya Lebanon, lakini Tel Aviv hadi sasa imegonga mwamba na kushindwa kutimiza malengo yake nchini humo.
-
Sisitizo la kustawisha uhusiano kati ya Iran na India
Oct 24, 2024 06:14Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wamejadili njia za kuendeleza uhusiano kati ya Tehran na New Delhi pambizoni mwa mkutano wa 16 wa wakuu wa nchi za BRICS huko Kazan, Russia.
-
Jeshi la Kizayuni kutokuwa na uwezo wa kuendelea na vita vya Ukanda wa Gaza
Oct 24, 2024 00:53Kuendelea vita vya Ukanda wa Gaza, kumeanika wazi zaidi udhaifu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika medani ya vita.
-
Umuhimu wa kushiriki rasmi Iran katika mkutano wa BRICS
Oct 23, 2024 09:37Siku ya Jumanne, kabla ya kuondoka kwake nchini kwenda Russia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa BRICS katika mji wa Kazan, Rais Masoud Pezeshkian wa Iran alisema BRICS ni njia ya kujiimarisha na pia kuondokana na siasa za upande mmoja za Marekani katika mfumo wa dunia.
-
Takwa la Amnesty International la kuwekewa vikwazo vya silaha Israel
Oct 22, 2024 22:52Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limezitaka nchi za Ulaya kuuwekea vikwazo vya silaha utawala haramu wa Israel.