-
Shahidi Nasrullah, nembo azizi ya muqawama na mapambano dhidi ya dhulma
Nov 10, 2024 06:31Kongamano la Kimataifa la Fikra za Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, limefanyika mjini Tehran kwa lengo la kuchunguza na kutambua mielekeo mbalimbali ya kifikra na kimaarifa ya shahidi huyo pamoja na nafasi yake ya kisiasa katika kukabiliana na kiburi cha Wazayuni, ambapo wataalamu na wanafikra kutoka nchi 13 wameshiriki.
-
Kupasishwa vikwazo dhidi ya utawala wa Kizayuni katika Bunge la Ireland
Nov 09, 2024 22:41Wabunge wa Ireland wamepasisha muswada ambao unauarifisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala mtenda jinai unaofanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza mbele ya macho ya walimwengu.
-
Wasiwasi wa Ulaya kuhusu kurejea Trump White House
Nov 09, 2024 08:40Matokeo ya ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani yamegubika hali ya siasa, uchumi na usalama wa Ulaya.
-
Kubatilishwa na kukanushwa hata na Ukraine madai hewa ya nchi za Ulaya dhidi ya Iran
Nov 08, 2024 23:27Rais wa Ukraine amesema, madai hewa yaliyotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya Iran kwamba imeipelekea Russia makombora ya balestiki hayana ukweli.
-
Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani
Nov 08, 2024 03:29Hatimaye mchuano mkali uliowaweka watu roho juu, wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024 uliofanyika Novemba 5, umemalizika na matokeo yake rasmi yametangazwa.
-
Maombi ya zaidi ya nchi 50 za dunia ya kuwekewa vikwazo vya silaha utawala wa Kizayuni
Nov 07, 2024 23:04Kufuatia kuendelea mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na Lebanon, zaidi ya nchi 50 za dunia zimemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Baraza la Usalama na Baraza Kuu la umoja huo wauwekee vikwazo vya silaha utawala huo katili.
-
Matokeo ya kufutwa kazi Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni
Nov 07, 2024 05:10Hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ya kumfuta kazi Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala huo imezidisha hali ya mgogoro huko Tel Aviv.
-
Kushadidi mgogoro wa Gaza kufuatia kusimamishwa shughuli za UNRWA
Nov 06, 2024 22:57Kutokana na tangazo la kusitishwa shughuli za UNRWA, taasisi za kimataifa zimeonya kuhusu uwezekano wa kuzorota zaidi hali ya maisha ya Wapalestina hususan watoto, wanawake na wagonjwa huko Ukanda wa Gaza.
-
Mafanikio mapya ya anga za mbali ya Iran: Kurushwa angani satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod
Nov 06, 2024 07:23Watafiti wa moja ya mashirika ya anga za juu ya Iran kwa kubuni na kutengeneza satelaiti mbili za Kowsar na Hod'hod wameweza kuziingiza kwa mafanikio satelaiti hizo mbili kwenye mzingo wa dunia wenye umbali wa kilomita 500 kwa kutumia roketi ya Soyuz kutokea kituo cha Vostochny nchini Russia, hapo siku ya Jumanne tarehe 5 Novemba.
-
Kulaaniwa na Jumuiya ya NAM uvamizi wa Israel dhidi ya Iran
Nov 05, 2024 22:44Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), imelaani uovu wa utawala wa Kizayuni na hujuma yake ya makusudi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutangaza kuwa, shambulio hilo ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka na umoja wa ardhi ya Iran.