-
Upeo angavu katika uhusiano wa Iran na Pakistan
Nov 05, 2024 04:20Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jioni ya jana Jumatatu aliwasili Islamabad, mji mkuu wa Pakistan kwa lengo la kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo na kushauriana nao kuhusu uhusiano wa pande mbili na matukio ya kieneo.
-
Kuongezeka dhulma na vitendo vya mabavu dhidi ya Waislamu nchini Ujerumani
Nov 04, 2024 22:42Mwenendo wa chuki na unyanyasaji dhidi ya Uislamu na Waislamu umeongezeka sana katika nchi za Ulaya hususan Ujerumani, kiasi kwamba takwimu rasmi zinaonyesha kuwa hali ya kijamii nchini humo inazidi kubana na kuwakandamiza Waislamu.
-
Kuendelea mafanikio ya Hizbullah ya Lebanon katika makabiliano na jeshi la Kizayuni.
Nov 04, 2024 07:59Hizbullah ya Lebanon inatekeleza vyema operesheni zake za kijeshi dhidi ya jeshi la Kizayuni katika nyanja mbalimbali.
-
Iran ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani katika teknolojia ya nyuklia
Nov 03, 2024 22:53Kutokana na juhudi za wanasayansi na wataalamu wake vijana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hivi sasa ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani kwa teknolojia ya nyuklia.
-
Kiongozi Muadhamu atoa ufafanuzi kuhusu ulazima wa kuendeleza mapambano ya taifa la Iran dhidi ya Marekani
Nov 03, 2024 07:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduuzi ya Kiislamu, Jumamosi ya jana alihutubia kikao cha maelfu ya wanafunzi na wasomi wa vyuo vikuu akieleza sababu za kimsingi za mapambano ya takriban miaka 70 ya taifa la Iran dhidi ya dhulma na sera za kupenda makuu na kujitanua za Marekani.
-
Hadaa ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika mpango wa kusitisha vita
Nov 02, 2024 23:06Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) wamesisitiza kuwa sababu kuu ya kuendelea vita Ukanda wa Gaza na kutofikia natija juhudi za usitishaji vita ni hadaa na ukwamishaji unaofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Kuendelea hatua na misimamo ya undumakuwili ya Marekani dhidi ya Iran
Nov 02, 2024 07:45Rais Joe Biden wa Marekani jana Ijumaa aliwatumia barua wakuu wa bunge la wawakilishi na seneti ambapo amerefusha kwa mwaka mmoja mwingine muda wa hali ya hatari kitaifa kuhusu Iran. Biden amechukua hatua hii katika miezi yake ya mwisho akiwa White House na kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani tarehe 5 mwezi huu wa Novemba.
-
Mauaji ya umati ya Wapalestina kwa silaha za Marekani
Nov 01, 2024 23:24Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza kwa kutumiwa silaha za Marekani limekuwa suala lenye utata linalojadiliwa katika duru za kisiasa na vyombo vya habari vya Marekani.
-
Uwezekano wa kusitishwa mapigano kusini mwa Lebanon
Oct 31, 2024 22:44Vyanzo vya Kizayuni, Marekani na Lebanon vimezungumzia kufikiwa makubaliano ya awali ya kusimamisha vita kusini mwa Lebanon, lakini kwamba bado kuna shaka kuhusu kiwango na njia za kufanikisha makubaliano hayo.
-
Umuhimu na matokeo ya kuchaguliwa Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah nchini Lebanon
Oct 31, 2024 09:45Miwezi mmoja baada ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imemchagua Sheikh Naim Qasim kuwa Katibu Mkuu mpya wa harakati hiyo ya muqawama.