nyumba ya sanaa
  • Video: Hasara waliyopata wanajeshi wa Saudia nchini Yemen ndani ya ardhi ya Saudia (2)

    Video: Hasara waliyopata wanajeshi wa Saudia nchini Yemen ndani ya ardhi ya Saudia (2)

    Sep 03, 2016 12:45

    Wakati Saudi Arabia na kundi lake wanaendelea kushambulia maeneo ya raia na kuharibu miundombinu nchini Yemen, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya wananchi wanaendelea kupata ushindi katika medani za mapigano katika eneo la Najran, ndani ya ardhi ya Saudi Arabia. Video hii inaonesha sehemu ndogo ya uhakika huo. Hii ni sehemu ya pili.

  • Video: Vita si lele mama, mashambulizi makali dhidi ya ngome ya Saudia Yemen (1)

    Video: Vita si lele mama, mashambulizi makali dhidi ya ngome ya Saudia Yemen (1)

    Sep 03, 2016 12:41

    Wakati Saudi Arabia na kundi lake wanaendelea kushambulia maeneo ya raia na kuharibu miundombinu nchini Yemen, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya wananchi wanaendelea kupata ushindi katika medani za mapigano. Video hii inaonesha sehemu ndogo ya uhakika huo.

  • Duma wa Iran

    Duma wa Iran

    Sep 01, 2016 13:38

    Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha sehemu ya chui aina ya duma wa nchini Iran

  • Aokoka chupuchupu kusagwa na treni

    Aokoka chupuchupu kusagwa na treni

    Aug 30, 2016 04:08

    Mtu hafi ila kwa ahadi yake kufika hata wakikusanyika viumbe wa mbinguni na ardhi kutaka kukumalizia maisha hawawezi kama siku yako haijafika. Video hii inathibitisha namna mtu alivyookolewa sekunde ya mwisho kabla ya kusagwasagwa na treni.

  • Usidhani ni mwadanamu tu ndiye awezaye kuendesha baskeli

    Usidhani ni mwadanamu tu ndiye awezaye kuendesha baskeli

    Aug 30, 2016 03:53

    Kinachompambanua mwanadamu na mnyama ni akili na maarifa yanayomfanya awe mbunifu, si utendaji wa matendo, kwani kuna matendo mengi tu yafanywayo na binadamu huweza kufanywa pia na wanyama kama kinavyoonesha kipande hiki cha video.

  • Ndege anayezungumza na watu kwa vitendo

    Ndege anayezungumza na watu kwa vitendo

    Aug 30, 2016 03:48

    Ndege anayesikiliza analoambiwa na kuonesha kuwa ameelewa alichoambiwa kupitia vitendo.

  • Kunguru mzungumzaji

    Kunguru mzungumzaji

    Aug 30, 2016 03:39

    Kila kitu dunia hii kimekuwa ni maslahi. Kunguru ameamua kuzungumza ili maslahi yake ya kupewa chakula yatimie

  • Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza

    Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza

    Aug 27, 2016 07:52

    Afisa wa kwanza wa kike wa polisi wa Marekani, ameanza kazi katika jeshi hilo kwa kuvaa sare ya Hijabu katika mji wa Dearborn kwenye jimbo la Michigan.