-
Safari ya Dakta Zarif nchini Iraq; udharura wa kupanuliwa ushirikiano wa pande mbili na wa kieneo
Apr 27, 2021 05:36Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu ya jana tarehe 26 Aprili aliwasili Baghdad mji mkuu wa Iraq ikiwa ni mwendelezo wa safari yake ya kieneo.
-
Kuanza mchakato wa kuondoka askari wa Marekani na wa NATO kutoka nchini Afghanistan
Apr 26, 2021 23:51Jenerali Austin Scott Miller, kamanda wa askari wa Marekani na wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini Afghanistan alitangaza Jumapili iliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, mchakato wa kuondoka wanajeshi wa Marekani na wa NATO huko Afghanistan umeanza katika baadhi ya vituo vya kijeshi nvya nchi hiyo na kwamba, vituo vyote vya kijeshi vitakabidhiwa kwa vikosi vya Kiafghani.
-
Quds na Intifadha ya Ramadhani
Apr 26, 2021 07:41Kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani kumekwenda sambamba na kuanza duru mpya ya mivutano baina ya Wapalestina na Wazayuni huko Quds inayokaliwa kwa mabavu ambapo Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imetoa mwito wa kufanyika Intifadha ya Quds.
-
Misimamo mipya ya chuki dhidi ya Uislamu ya rais Macron wa Ufaransa
Apr 25, 2021 11:07Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa mara nyingine tena ameunasibisha Uislamu na ugaidi na kujeruhi hisia za Waislamu duniani kote.
-
Marekani yaibua shaka kuhusu kufungamana kwake na JCPOA na kuondoa vikwazo
Apr 24, 2021 06:13Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani alisema Alkhamisi kwamba hakuna dhamani ya kimaandishi itakayotolewa na serikali hiyo kuthibitisha kwamba haitajiondoa tena katika mapatano ya nyukilia na Iran na madola mengine makuu ya dunia, mashuhuri kama JCPOA.
-
Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni)
Apr 21, 2021 22:22Jenerali Kenneth McKenzie, Kamanda wa Kamandi Kuu ya askari wa kigaidi wa Marekani CENTCOM, amekiri kwamba nguvu ya droni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepunguza na kudhoofisha pakubwa uwezo wa anga wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
-
Chanjo ya COVID-19 ya Iran ya Fakhra yaanza kufanyiwa majaribio + Video
Mar 16, 2021 04:42Awamu ya kwanza ya majaribio kwa mwanadamu ya chanjo ya COVID-19 ya Fakhra iliyotegenezwa Iran imeanza leo.
-
Jeshi la IRGC la Iran lazindua mji mpya wa makombora chini ya ardhi + Video
Mar 15, 2021 08:51Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran limezindua mji mpya wa makombora uliojengwa chini ya ardhi kwa kutegemea wataalamu Wairani na teknolojia ya ndani ya nchi.
-
Othman Masoud Othman Sharif aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar + SAUTI
Mar 02, 2021 15:17Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemwapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kufuatia uteuzi aliofanya tarehe mosi Machi mwaka huu
-
Zanzibar yatangaza siku 7 za maombolezo kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad +SAUTI
Feb 17, 2021 13:33Maalim Seif Sharif Hamad, mwanasiasa mkongwe na Makamu wa Kwanza wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 77.