-
Hatimaye Jumuiya ya Waislamu Burundi yapata kiongozi mpya + SAUTI
Feb 08, 2021 12:30Jumuia ya Waislamu nchini Burundi (COMIBU) hatimaye imepata kiongozi mpya baada ya kubakia wazi kwa muda wa miezi 5. Kiongozi huyo mpya Sheikh Hassan Nyamweru aliyeshinda uchaguzi kwa asilimia 84 ya kura dhidi ya mpinzani wake Sheikh Salum Nayabagabo aliyepata kura 32. Amida ISSA na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Mauaji dhidi yao yaongezeka, waandishi wa habari wataka ulinzi zaidi Uganda + SAUTI
Feb 08, 2021 12:23Kwa mara nyingine waandishi wa habari nchini Uganda wameiomba Serikali iwape ulinzi wa kutosha ili kuzuia mauaji wanayofanyiwa mara kwa mara na ambayo sasa hivi yamekithiri. Mwandishi wa Kampala Kigozi Ismail na taarifa zaidi:
-
Kikosi cha Majini cha IRGC chapokea boti 340 za kivita zenye uwezo wa kurusha makombora + Video
Feb 08, 2021 04:41Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran (IRGC) kimepokea boti 340 za kivita zenye uwezo wa kuvurumisha makombora.
-
Iran itatuma sataliti zaidi katika anga za mbali kwa kutumia kombora jipya
Feb 02, 2021 22:59Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa baada ya kutuma katika anga za mbali kombora la kisasa kabisa la kubeba satalaiti ambalo linajulikana kama Zuljanah. Amesema kombora la Zuljanah litaweza kutuma satalaiti zaidi katika anga za mbali.
-
Khatibzadeh: Hakutakuweko mazungumzo ya pande mbili baina ya Iran na Marekani
Feb 01, 2021 08:29Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili halitafanya mazungumzo na serikali ya Marekani.
-
Rwanda yaanza kugawa chakula kwa wananchi waliothirika na karantini ya Corona +SAUTI
Jan 25, 2021 14:47Wakati wakazi wa mji mkuu wa Rwanda Kigali wakiingia juma la pili la zuio la kutotoka nje katika hatua ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona, serikali ya nchi hiyo imeanza zoezi la mgawo wa vyakula kwa wananchi walioathiriwa kutokana na kupoteza vyanzo vyao vya mapato.
-
Serikali ya Uganda yatakiwa kuzingatia maslahi ya vijana +SAUTI
Jan 25, 2021 14:41Viongozi wa vikundi vya vijana nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuzingatia maslahi ya vijana wote badala ya kuwaita kila mara kwamba, wao ni viongozi wa kesho.
-
Wanaokaidi karantini ya corona Kigali Rwanda, kukiona + Sauti
Jan 21, 2021 14:38Siku tatu baada ya mji mkuu wa Rwanda Kigali kuwekwa kwenye zuio la wakazi wake kukaa nyumbani, baadhi ya wananchi wameonekana kukaidi miito hiyo na polisi wameonya kuwachukulia hatua kali ikiwa wataendelea kufanya hivyo. Serikali ya Rwanda iliamua kuweka zuio la wiki mbili kwa wakazi wa mji mkuu Kigali kutokana na ongezeko la maambukizi ya kirusi cha corona. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Wananchi wa Sudan waandamana kupinga uhusiano na Israel + Video
Jan 18, 2021 07:20Wananchi wa Sudan wameandamana mjini Khartoum, kupinga uamuzi wa nchi yao kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Jeshi la Iran la IRGC lafanya majaribio makubwa ya makombora mapya
Jan 16, 2021 04:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) linafanya mazoezi makubwa ya makombora katika jangwa la kati mwa Iran ambapo limefanyia majaribio makombora mapya ya balistiki na ndege za kivita zisizo na rubani.