-
Waziri wa Mafuta: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina changamoto yoyote katika kuuza mafuta nje ya nchi
Nov 25, 2024 13:28Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa Iran haina tatizo lolote katika uga wa kuuza na kusafirisha mafuta nje ya nchi.
-
SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video
Nov 24, 2024 07:28Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ametangaza habari ya kuangamizwa na kutiwa mbaroni magaidi 88 katika mazoezi ya kijeshi ya mashahidi wa usalama kwenye mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Jenerali wa Nigeria: Magaidi, waasi barani Afrika wanatumia silaha za Israel
Nov 17, 2024 08:01Jenerali mstaafu wa jeshi la Nigeria ambaye alikwenda katika nchi kadhaa za Afrika zikiwemo Mali na Liberia kwa ajili ya kulinda amani, amefichua kuwa silaha nyingi walizozikamata kutoka kwa magaidi na waasi wa nchi tofauti zinatoka Israel, jambo ambalo limeweka wazi mkono wa Wazayuni katika migogoro na ugaidi unaotokea katika baadhi ya nchi za Afrika.
-
Hizbullah yazindua mtambo mpya wa makombora
Oct 20, 2024 02:43Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezindua mtambo wake wa maroketi wa M80 maalumu kwa kurushia maroketi ya kushambulia adui kutoka ardhini hadi ardhini.
-
Wakati Israel ilipofedheheshwa katika mkutano wa IPU; Tulia Ackson ajitetea kwa nguvu zote + Video
Oct 16, 2024 11:02Wabunge wa nchi mbalimbali duniani wameususia utawala wa Kizayuni wa Israel na kutoka nje ya ukumbi wakipiga nara za ukombozi wa Palestina wakati wa Mkutano Mkuu wa 149 wa Muungano wa Mabunge ya Umoja wa Mataifa (IPU) mjini Geneva, Uswisi.
-
Rais wa Iran ashiriki katika mazishi Shahidi Nilforoushan mjini Tehran
Oct 15, 2024 13:10Rais wa Iran amehudhuria hafla ya mazishi ya jenerali aliyeuawa shahidi Abbas Nilforoushan, mshauri wa ngazi za juu wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon.
-
Spika wa Bunge la Iran akiwa rubani katika safari yake Lebanon + VIDEO
Oct 13, 2024 12:48Mohammad Bagher Ghalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) jana aliwasili Lebanon akiwa rubani wa ndege ya ujumbe wa Iran aliouongoza.
-
Muendelezo wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Kiislamu wa Iraq dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 10, 2024 05:35Muqawama wa Kiislamu wa Iraq kwa mara nyingine tena umelenga na kushambulia moja ya maeneo muhimu kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ndege isiyo na rubani.
-
Erdogan: Iwe ni karibuni au baadaye, Israel italipa kwa mauaji ya kimbari inayoendeleza Ghaza
Oct 09, 2024 02:29Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, iwe iwavyo utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa kwa mauaji ya kimbari ambayo umekuwa ukiendelea kuyafanya katika Ukanda wa Ghaza kwa mwaka mmoja sasa.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 09, 2024 02:27Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.