-
Wakati Israel ilipofedheheshwa katika mkutano wa IPU; Tulia Ackson ajitetea kwa nguvu zote + Video
Oct 16, 2024 11:02Wabunge wa nchi mbalimbali duniani wameususia utawala wa Kizayuni wa Israel na kutoka nje ya ukumbi wakipiga nara za ukombozi wa Palestina wakati wa Mkutano Mkuu wa 149 wa Muungano wa Mabunge ya Umoja wa Mataifa (IPU) mjini Geneva, Uswisi.
-
Rais wa Iran ashiriki katika mazishi Shahidi Nilforoushan mjini Tehran
Oct 15, 2024 13:10Rais wa Iran amehudhuria hafla ya mazishi ya jenerali aliyeuawa shahidi Abbas Nilforoushan, mshauri wa ngazi za juu wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon.
-
Spika wa Bunge la Iran akiwa rubani katika safari yake Lebanon + VIDEO
Oct 13, 2024 12:48Mohammad Bagher Ghalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) jana aliwasili Lebanon akiwa rubani wa ndege ya ujumbe wa Iran aliouongoza.
-
Muendelezo wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Kiislamu wa Iraq dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 10, 2024 05:35Muqawama wa Kiislamu wa Iraq kwa mara nyingine tena umelenga na kushambulia moja ya maeneo muhimu kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ndege isiyo na rubani.
-
Erdogan: Iwe ni karibuni au baadaye, Israel italipa kwa mauaji ya kimbari inayoendeleza Ghaza
Oct 09, 2024 02:29Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, iwe iwavyo utawala wa Kizayuni wa Israel utalipa kwa mauaji ya kimbari ambayo umekuwa ukiendelea kuyafanya katika Ukanda wa Ghaza kwa mwaka mmoja sasa.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 09, 2024 02:27Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.
-
Zawadi ya tunu ya HAMAS kwa Sayyid Hassan Nasrullah + VIDEO
Oct 04, 2024 07:59Brigedi za Izzuddin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimesambaza mkanda wa video na ndani yake wanatangaza kuwa operesheni hiyo ni zawadi kwa shahid wa Muqawama, Sayyid Hassan Nasrullah. Mkanda huo unaonesha mtego kabambe waliowawekea wanajeshi katili wa Israel na vifaru na mabuldoza yao na namna vinavyoteketezwa kimoja baada ya kingine huko Khan Yunus, katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wazayuni washambulia tena vitongoji vya Beirut, Lebanon
Sep 28, 2024 07:58Ndega za kivita za utawala wa Kizayuni zinaendelea kumeshambulia kikatili mitaa ya kusini mwa Beirut, mji mkuu wa Lebanon.
-
Israel yaua watu wengine 72 na kujeruhi 400 Lebanon, Hizbullah yajibu mapigo kwa makombora
Sep 26, 2024 06:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi watu wasiopungua 72 na kuwajeruhi wengine 400 nchini Lebanon katika siku ya tatu mtawalia ya mashambulizi ya kiwendawazimu unayofanya katika ardhi ya nchi hiyo sambamba na makabiliano yanayoendelea baina yake na harakati ya Muqawama ya Hizbullah.
-
Duru mpya ya mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Lebanon
Sep 25, 2024 07:54Jeshi la utawala katili wa Israel limeendeleza jinai zake kwa shambulia kwa mabomu maeneo ya raia mashariki mwa Lebanon.