-
Kituo cha mwisho cha jeshi la Marekani nchini Niger chafungwa
Aug 05, 2024 10:21Kambi ya mwisho ya kijeshi ya Marekani nchini Niger imekabidhiwa rasmi leo kwa nchi hiyo ya Afrika.
-
Hizbullah yafanya mashambulizi mapya dhidi ya Israel; ving'ora vyalia mtawalia + VIDEO
Aug 04, 2024 07:24Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza kuwa, ving'ora vilisikika mtawalia jana, kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kutokana na mashambulizi makali yaliyofanywa na Hizbullah ya Lebanon.
-
Kiongozi Muadhamu asalisha Sala ya Maiti ya Ismail Haniyeh na mlinzi wake + VIDEO na PICHA
Aug 01, 2024 06:43Mapema leo Alkhamisi asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesalisha umati mkubwa wa Waislamu waliojitokeza katika Sala ya Maiti ya Mkuu wa Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Ismail Haniyeh na mlinzi wake. Sala hiyo ya Maiti imesaliwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran.
-
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran: Sarafu ya dola tumeiondoa katika miamala ya Iran na Russia
Jul 13, 2024 12:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa miamala yote ya kibiashara kati ya Iran na Russia itafanyika bila ya kutumika sarafu ya dola.
-
Jeshi la Israel limeua na kujeruhi makumi ya wakazi wa Khan Yunis kusini mwa Gaza + Video
Jul 13, 2024 11:48Ndege za kivita za jeshi la utawala katili wa Israel limeushambulia mji wa Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuuwa wakazi wa mji huo wasiopungua 71 na kujeruhi wengine 289 hadi hivi sasa.
-
Muendelezo wa maandamano dhidi ya Wazayuni katika maeneo mbalimbali ulimwenguni
Jul 04, 2024 07:10Maandamano bado yanaendelea katika nchi tofauti za dunia kupinga mauaji ya halaiki yanayofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah ya Lebanon yaendelea kushambulia maeneo ya jeshi la utawala wa Kizayuni
Jun 27, 2024 08:07Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena wamelenga na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa katika maeneo ya wanajeshi wa Kizayuni kwenye mpaka wa nchi hiyo na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Yemen yasambaza video ya kushambulia meli ya Israel kwa kombora la 'balestiki la hypersonic'
Jun 27, 2024 07:33Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimesambaza video inayoonyesha kutumiwa kombora la balestiki la hypersonic dhidi ya meli ya Israeli katika Bahari ya Arabia. Vikosi hivyo vilisambaza video hiyo siku ya Jumatano, vikisema kombora lililotumika linaitwa "Hatem-2" na kwamba meli iliyolengwa ni "MSC SARAH V."
-
Video na Picha za kombora la hypersonic la Yemen lililopiga meli ya Israel
Jun 27, 2024 06:26Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimesambaza video na picha zinazoonyesha kombora la balestiki la hypersonic la vikosi majeshi ya nchi hiyo lililotumika kupiga meli ya utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyekundu au Bahari ya Sham.
-
Le Monde: Ususiaji waziathiri vibaya bidhaa za Marekani
Jun 14, 2024 13:29Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kwamba makampuni ya Marekani yako katika kipindi kigumu hivi sasa kwa kususiwa bidhaa zao kutokana na uungaji mkono wao kwa Israel.