-
Jeshi la Israel limeua na kujeruhi makumi ya wakazi wa Khan Yunis kusini mwa Gaza + Video
Jul 13, 2024 11:48Ndege za kivita za jeshi la utawala katili wa Israel limeushambulia mji wa Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuuwa wakazi wa mji huo wasiopungua 71 na kujeruhi wengine 289 hadi hivi sasa.
-
Muendelezo wa maandamano dhidi ya Wazayuni katika maeneo mbalimbali ulimwenguni
Jul 04, 2024 07:10Maandamano bado yanaendelea katika nchi tofauti za dunia kupinga mauaji ya halaiki yanayofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah ya Lebanon yaendelea kushambulia maeneo ya jeshi la utawala wa Kizayuni
Jun 27, 2024 08:07Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena wamelenga na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa katika maeneo ya wanajeshi wa Kizayuni kwenye mpaka wa nchi hiyo na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Yemen yasambaza video ya kushambulia meli ya Israel kwa kombora la 'balestiki la hypersonic'
Jun 27, 2024 07:33Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimesambaza video inayoonyesha kutumiwa kombora la balestiki la hypersonic dhidi ya meli ya Israeli katika Bahari ya Arabia. Vikosi hivyo vilisambaza video hiyo siku ya Jumatano, vikisema kombora lililotumika linaitwa "Hatem-2" na kwamba meli iliyolengwa ni "MSC SARAH V."
-
Video na Picha za kombora la hypersonic la Yemen lililopiga meli ya Israel
Jun 27, 2024 06:26Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimesambaza video na picha zinazoonyesha kombora la balestiki la hypersonic la vikosi majeshi ya nchi hiyo lililotumika kupiga meli ya utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyekundu au Bahari ya Sham.
-
Le Monde: Ususiaji waziathiri vibaya bidhaa za Marekani
Jun 14, 2024 13:29Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kwamba makampuni ya Marekani yako katika kipindi kigumu hivi sasa kwa kususiwa bidhaa zao kutokana na uungaji mkono wao kwa Israel.
-
Walimwengu waandamana wakilaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jun 12, 2024 07:22Maandamano ya kupinga na kulaani mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza yanaendelea kufanyika katika nchi tofauti za dunia.
-
Bagheri Kani: Iran ni miongoni mwa 'wapaza sauti wakubwa zaidi' dhidi ya jinai za Israel Ghaza
Jun 09, 2024 10:03Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ni mojawapo ya nchi ambazo zimepaza "sauti kubwa zaidi" dhidi ya jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Eslami: Shughuli za nyuklia za Iran zinafanyika kwa mujibu wa sheria
Jun 04, 2024 11:49Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: Shughuli za nyuklia za Iran zinafanayika ndani ya fremu ya sheria ya kimkakati ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislami (Bunge la Iran) kwa lengo la kuondoa vikwazo.
-
Colombia yakata uhusiano na utawala wa Israel
May 28, 2024 06:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Colombia ametangaza kukatwa uhusiano wa kidiplomasia wa nchi yake na utawala wa Kizayuni.