-
Tahadhari kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria
May 12, 2024 02:35Msemaji wa kundi la viongozi wa kaskazini mwa Nigeria amemuonya rais wa nchi hiyo kuhusu madhara hatari ya kuwepo kwa wanajeshi wa Marekani na Ufaransa nchini Nigeria.
-
Iran yaziwekea vikwazo kampuni na maafisa wa Marekani, Uingereza kwa kuhusika na ugaidi
May 03, 2024 04:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeyawekea vikwazo mashirika na watu binafsi wa Marekani na Uingereza kwa kuhusika na ugaidi na ukiukaji wa haki za binadamu kupitia kufadhili vitendo vya kinyama vya Israel dhidi ya Wapalestina, hasa wale wa Ukanda wa Gaza.
-
Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mjini Paris
May 02, 2024 07:26Polisi wa kutuliza ghasia wa Ufaransa jana walikabiliana kwa mabavu na washiriki wa maandamano katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) katika mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Mahakama ya Nigeria yatoa hukumu dhidi ya Polisi kwa kushambulia matembezi ya Ashura
May 01, 2024 10:53Mahakama Kuu ya Shirikisho ya Nigeria katika Jimbo la Kaduna imetoa hukumu dhidi ya Polisi ya nchi hiyo kwa kushambulia waumini katika matembezi ya amani ya Siku ya Ashura yaliyofanyika katika mji wa Zaria.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaendelea katika miji tofauti duniani
May 01, 2024 06:50Wananchi wa miji tofauti ya dunia kwa mara nyingine wameandamana kuwatetea wananchi madhulumu wa Palestina na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Watu watatu wauawa kwa kupigwa risasi katika jimbo la North Carolina Marekani
Apr 30, 2024 07:21Watu watatu wameuawa katika ufyatuaj risasi uliotokea katika jimbo la North Carolina nchini Marekani.
-
Qur'ani yavunjiwa tena heshima nchini Sweden
Apr 30, 2024 03:51Mtu mwenye msimamo mikali nchini Sweden amekivunjia heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho.
-
Abbas: Utawala wa Kizayuni umeangamiza asilimia 75 ya Ukanda wa Gaza
Apr 29, 2024 02:37Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeangamiza asilimia 75 ya nyumba, miundombinu ya barabara, vyuo vikuu, misikiti na miundo msingi mingine ya Ukanda wa Gaza.
-
Mgombea wa uchaguzi wa rais Marekani atiwa nguvuni katika maandamano ya watetezi wa Palestina
Apr 29, 2024 02:36Polisi nchini Marekani imemtia nguvuni mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka huu nchini humo ambaye alikuwa katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Washington.
-
Raisi: Iran ina ubunifu katika nyanja mbalimbali kwa ajili ya dunia
Apr 27, 2024 13:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika sherehe za ufunguzi wa maonyesho ya sita ya uwezo wa mauzo ya nje ya bidhaa za Iran (Iran Expo 2024) kwamba maonesho haya yanaonyesha kuwa Iran haiwezi kuwekewa vikwazo na ina uwezo wa kufanya uvumbuzi katika nyanja mbalimbali.