-
SAUTI, Mkurugenzi wa UN wa Shirika la UNAIDS agundua maambukizi ya kiwango kikubwa cha ukimwi kati ya askari wa CAR
Oct 11, 2018 13:11Mkurugenzi wa Umoja wa Mataifa wa Shirika la Kupambana na Ukimwi Duniani, UNAIDS, Bwana Michel Sidibé amemaliza ziara yake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ikiwa ni baada ya kugundua kiwango kikubwa cha maradhi hayo kati ya askari wa serikali.
-
SAUTI, Serikali ya Rwanda kwa kushirikiana na UNHCR zimeanza kuwapatia wakimbizi vibali vya kusafiria nje ya nchi
Oct 11, 2018 12:44Kwa mara ya kwanza serikali ya Rwanda imeanza kutoa vibali vya kusafiria 'pasipoti' kwa wakimbizi wote walioko nchi hiyo.
-
Kongamano la vijana wa Afrika mjini Kigali lazitaka nchi za Afrika kuwa na mabaraza yenye nguvu ya vijana + Sauti
Oct 11, 2018 02:33Kongamano la vijana kutoka nchi zote za Afrika linatajiwa kufikia kilele chake kwa kuziomba serikali zote za bara hilo kuanzisha mabaraza ya vijana kama jukwaa la kuwasiaida vijana hao kupaza sauti zao na kujadili yale yanayowasibu. Sylvanus Karemera na ripoti kamili...
-
SAUTI, Rais Museven, Waganda ishini pamoja kwa upendo kama watoto wa familia moja, ama wahalifu 40 zao zinahesabika
Oct 09, 2018 13:24Rais Yoweri Museven wa Uganda amewataka raia wa nchi hiyo kupendana na kuishi sawa na watoto wa familia moja, badala ya kuchukiana.
-
SAUTI, Mpinzani nchini Cameroon aliyejitangazia ushindi kwamba amefunga goli la penalti, sasa kuburuzwa mahakamani
Oct 09, 2018 12:51Kufuatia mgombe urais wa chama cha upinzani cha Movement for the Rebirth of Cameroon (MRC), Bwana Maurice Kamto kujitangazia ushindi, baashi ya shakhsia wameinuka na kuonya juu ya uwezekano wa kutokea machafuko ya kisiasa ndani ya nchi hiyo.
-
Miaka 56 ya uhuru wa Uganda + Sauti
Oct 09, 2018 02:12Uganda imeadhimisha mwaka wa 56 wa uhuru wake ikiwa imetekeleza miradi mingi ya maendeleo na kufeli katika sekta nyinginezo. Taarifa kamili anayo mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismael...
-
Mazungumzo ya Makamu wa Rais wa Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya
Oct 04, 2018 10:49Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia amekutana na kufanya mazungumzo mjini Nairobi na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya na kusisitiza juu ya kustawishwa usafirishwaji nje bidhaa za teknolojia.
-
Rais Rouhani ayashukuru majeshi ya Iran kwa jibu kali kwa magaidi + Video
Oct 03, 2018 23:12Rais Hassan Rouhani amevishukuru vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa majibu makali na ya kina dhidi ya viongozi wa magaidi waliohusika katika shambulizi la kigaidi la Ahvaz, kusini magharibi mwa Iran na kusisitiza kuwa: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu limetoa majibu makali kabisa kwa magaidi ambao waliwashambulia bila huruma wanawake na watoto wadogo nchini Iran.
-
Sheria mpya ya jinai Rwanda yapokewa kwa hisia tofauti + Sauti
Oct 03, 2018 13:23Mabadiliko yaliyofanywa kwenye sheria ya jinai nchini Rwanda yamepokelewa kwa hisia tofauti miongoni mwa wadau wake katika jamii. Mabadiliko hayo ni pamoja marufuku kwa waandishi wa habari kuchora vibonzo vinavyowakashifu viongozi wa ngazi za juu akiwemo rais wa nchi .Waandishi wa habari wanahisi hilo linaloweza kusababisha wao kuwa matatani kwa njia rahisi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi....
-
Pigo jingine kubwa kwa Trump: Mahakama ya juu zaidi ya UN yaiamrisha Marekani iiondolee vikwazo Iran + Video
Oct 03, 2018 10:59Tehran imepata ushindi mwingine mbele ya Marekani baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kutoa amri kwa Washington kusimamisha vikwazo vyake vya upande mmoja haraka iwezekanavyo dhidi ya Iran.