Sheria mpya ya jinai Rwanda yapokewa kwa hisia tofauti + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i48559-sheria_mpya_ya_jinai_rwanda_yapokewa_kwa_hisia_tofauti_sauti
Mabadiliko yaliyofanywa kwenye sheria ya jinai nchini Rwanda yamepokelewa kwa hisia tofauti miongoni mwa wadau wake katika jamii. Mabadiliko hayo ni pamoja marufuku kwa waandishi wa habari kuchora vibonzo vinavyowakashifu viongozi wa ngazi za juu akiwemo rais wa nchi .Waandishi wa habari wanahisi hilo linaloweza kusababisha wao kuwa matatani kwa njia rahisi. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi....
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Oct 03, 2018 13:23 UTC