-
Waislamu Uganda walalamikia kutengwa na Serikali + Sauti
Sep 11, 2018 02:02Mufti wa Uganda, Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje ameilalamikia vikali serikali ya Uganda kutokana na sera zake za kuwatenga Waislamu katika jamii. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo.
-
Mufti wa Tanzania apewa zawadi ya kutembelea Iran na familia yake + Sauti
Sep 11, 2018 01:44Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Bw. Musa Farhang amemzawadia Mufti wa nchi hiyo, Sheikh Abubakar bin Zubeir safari ya kuitembelea Iran yeye na familia yake.
-
Chanzo cha ugonjwa wa Lupa ulioikumba Tanzania bado hakijajulikana + Sauti
Sep 10, 2018 01:42Serikali ya Tanzania imesema, hadi kufikia sasa haijafahamika chanzo cha ugonjwa wa Lupa ulioikumba nchi hiyo.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-3
Sep 09, 2018 09:48Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-2
Sep 09, 2018 09:42Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya pili ya kipindi hiki cha Katika Maktaba ya Imam Khomeini (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-1
Sep 09, 2018 09:38Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya kwanza ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
SAUTI, Kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika nchini Rwanda leo, zimeanza kuhesabiwa, chama tawala kinaongoza
Sep 03, 2018 11:58Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa bunge uliofanyika mapema leo nchini Rwanda limeanza na chama ambapo chama tawala cha RPF kinaonekana kuongoza matokeo.
-
SAUTI, Vyama vya upinzani Burundi vimetaka kuteuliwa upya wajumbe wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo
Sep 03, 2018 11:56Chama cha upinzani nchini Burundi MRC kimetaka kuitishwa upya uteuzi wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ikiwa ni katika kusubiri kikao cha majadiliano kilichoitishwa na Benjamin Mkapa, rais mustaaf wa Tanzania.
-
SAUTI, Balozi wa Iran Tanzania: Iddi ya Ghadir ni kwa ajili ya Waislamu wote si kwa Waislamu wa Shia peke yao
Aug 30, 2018 12:30Balozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, amesema kuwa, Sikukuu ya Ghadir sio kwa ajili ya Waislamu wa Shia pekee, bali Waislamu wa madhehebu yote duniani.
-
SAUTi, Raia wa Burundi waitaka serikali kudhamini mifuko ya makaratasi kabla ya kuzuia ile ya plastiki
Aug 30, 2018 12:29Baada ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kusaini sheria inayopiga marufuku matumizi na biashara ya mifuko ya plastik nchini humo, wananchi wamekuwa wakihimizwa kuachana na matumizi ya mifuko ya aina hiyo ambayo inaharibu mazingira kwa kiasi kikubwa.