Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO
(last modified Thu, 13 Jul 2023 11:09:02 GMT )
Jul 13, 2023 11:09 UTC

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje