-
Araqchi: Vikosi vya ulinzi vya Iran viko tayari kukabiliana na uchokozi wowote wa utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake
Jul 03, 2025 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa vikosi vya ulinzi vya Iran viko tayari kabisa kukabiliana kwa nguvu zake zote na chokochoko za aina yoyote za utawala wa Kizayuni na pande zinazouunga mkono utawala huo.
-
Iran yakataa takwa la EU la kujadili kusitisha mpango wake wa nyuklia
Jul 03, 2025 01:09Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepinga msimamo wa Umoja wa Ulaya (EU) wa hivi karibuni unaotaka kuanzishwa mazungumzo mapya yenye lengo la kusitisha mpango wa nyuklia wa Iran.
-
UNESCO yaionya Israel kuhusu kulenga kijeshi maeneo ya urithi wa kihistoria ya Iran
Jul 02, 2025 08:34Waziri wa Turathi za Kitamaduni, Utalii na Sanaa za Mikono wa Iran amesema kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ametoa onyo kwa Israel na kuutaka utawala huo kutojaribu kulenga maeneo ya turathi za kihistoria na kitamaduni ya Iran.
-
Rais wa Iran aidhinisha kusitisha ushirikiano na IAEA kufuatia azimio la kisiasa
Jul 02, 2025 08:24Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, ameidhinisha rasmi sheria ya kusitisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kufuatia azimio la kisiasa lililochochea hatua za uchokozi kutoka Marekani na Israel dhidi ya Iran.
-
Ufaransa yaondoka katika kituo kingine cha kijeshi Senegal
Jul 02, 2025 08:20Ufaransa imekabidhi kituo cha mawasiliano ya kijeshi kilichoko magharibi mwa Senegal kwa serokali ya nchi hiyo baada ya kuondoa wanajeshi wake. Rais wa taifa hilo la Afrika Magharibi, Bassirou Diomaye Faye, mwaka jana alitaka kusitishwa kwa mkataba wa ulinzi uliodumu kwa miongo kadhaa kati ya Senegal na mkoloni wa zamani, akisema mkataba huo “hauendani” na uhuru wa taifa lake.
-
Iran na nchi tisa zalaani vikwazo vya mataifa ya magharibi dhidi ya nchi zinazoendelea
Jul 02, 2025 08:15Iran pamoja na nchi zingine tisa zimelaani vikali vikwazo vya upande mmoja na hatua za kulazimisha zinazowekwa na mataifa ya Magharibi dhidi ya nchi mbalimbali, wakizitaja kuwa ni ukiukaji wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kanuni ya kutokujihusisha na mambo ya ndani ya mataifa mengine.
-
Araqchi: Kurutubisha madini ya urani ni mstari wetu mwekundu; katu hatutalegeza kamba
Jul 02, 2025 04:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, teknolojia na sayansi ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kuharibiwa kwa mashambulizi ya mabomu.
-
Brigedia Jenerali Vahidi: Nguvu ya makombora ya Iran iko katika hali bora kabisa
Jul 02, 2025 04:21Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, mshauri wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema: Nguvu na uwezo wa makombora ya Iran uko katika hali bora kabisa ya kukabiliana na adui Mzayuni[utawala ghasibu wa Israel].
-
Jibu la Iran kwa ombi la Kundi la G7 kwa ajili ya kufanya mazungumzo
Jul 02, 2025 02:21Mawaziri wa Mambo ya Nje wa kundi la nchi saba tajiri kwa viwanda G7 wametoa wito wa "kuanzishwa tena mazungumzo ya nyuklia" na Iran na kufikiwa makubaliano "jumuishi na ya kudumu" kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Mohajerani: Hakuna uamuzi hadi sasa juu ya mazungumzo na Marekani
Jul 01, 2025 23:10Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna uamuzi uliochukuliwa kuhusu kuingia katika mazungumzo na Marekani.