-
Iran kuzindua taasisi mpya za kurutubisha urani. Ni jibu kwa hatua ya IAEA
Jun 12, 2025 07:10Wizara ya Mambo ya Nje na Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran zimetoa taarifa ya pamoja kujibu hatua ya kisiasa ya nchi za Magharibi katika Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya mradi wa amani wa nyuklia wa Iran na kusema kuwa itazindua taasisi mpya za kurutubisha urani.
-
Rais wa Iran: Mazungumzo na mataifa ya magharibi sio ishara ya kusalimu amri
Jun 12, 2025 04:30Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesisitiza kuwa mazungumzo yanayoendelea kati ya Tehran na mataifa ya Magharibi hayaashirii kusalimu amri kwa mashinikizo ya nje.
-
Iran: Nchi za Ulaya hazina haki ya kisheria wala kimaadili kuiwekea Iran vikwazo
Jun 12, 2025 04:08Iran imesema kuwa mataifa ya Ulaya yaliyosaini mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015, yaani Uingereza, Ufaransa na Ujerumani (E3), hayana nafasi yoyote ya kisheria wala kimaadili ya kufufua vikwazo dhidi ya Iran, kwa kuzingatia kushindwa kwao kutekeleza majukumu yao chini ya makubaliano hayo.
-
Iran: EU ikishinikiza turejeshewa vikwazo vya UN, tutajitoa NPT
Jun 11, 2025 23:23Iran imeonya kwamba, huenda ikatumia haki yake ya kisheria ya kujiondoa kwenye Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) ikiwa mataifa ya Ulaya yataendelea na jaribio lisilo na msingi wa kisheria la kuamilisha mchakato wa kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Je, mashirikiano ya Iran na Afrika yataimarika vipi?
Jun 11, 2025 22:39Katika kikao chao na Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, mabalozi wa Senegal na Sierra Leone wamesisitiza utayari wa nchi za Kiafrika kwa ajili ya kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara na Iran.
-
Iran yaapa kujibu kwa "njia muafaka" maamuzi haribifu ya Bodi ya IAEA
Jun 11, 2025 09:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa vikali hatua ya kichokozi ya Marekani na washirika wake wa Ulaya ya kuwasilisha azimio dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), akionya kuwa uamuzi wowote wa "kutozingatia busara" kutoka kwa wajumbe wa bodi hiyo ya wanachama 35 utajibiwa kwa hatua muafaka kutoka Tehran.
-
Kiongozi Muadhamu: Bunge la Iran ni tofauti na Mabunge yanayounga mkono wahalifu kama wauaji wa Gaza
Jun 11, 2025 09:26Kiongozi wa Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesisitiza kuwa, hadhi ya Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) ni ya kipekee miongoni mwa nchi za dunia na inatofautiana na Mabunge yanayounga mkono dhulma, ubaguzi, tofauti za kitabaka na wahalifu kama wauaji wa Gaza.
-
Iran: Operesheni yetu ya kiintelijensia imeyumbisha vikali usalama wa Israel
Jun 11, 2025 09:12Wizara ya Usalama wa Taifa (Intelijensia) ya Iran imetoa taarifa kuhusu mafanikio yake makubwa ya kukusanya na kuhamisha nyaraka nyingi za siri kutoka Israel, na kuieleza operesheni hiyo kama ushindi wa kipekee na wa kihistoria wa kijasusi ambao haujawahi kushuhudiwa.
-
Ni yapi mafanikio ya operesheni ngumu ya kiintelijensia ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni?
Jun 11, 2025 02:31Taarifa muhimu ya Sekretarieti ya Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetolewa kufuatia operesheni ngumu na nyeti ya kiintelijensia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel). Taarifa hiyo imesisitiza kuwa: “Tukishambuliwa, vituo vya siri vya nyuklia vya utawala wa Kizayuni vitalengwa."
-
Iran yakosoa kauli ya mkuu wa IAEA, yasema ni sehemu ya vita vya kisaikolojia vya Israel
Jun 10, 2025 23:33Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, Mohammad Eslami, amezishambulia vikali kauli za Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), akisema kuwa hazina msingi wa kitaalamu wala kisheria.