-
Kwa mara ya kwanza, Iran yapata Tuzo ya huduma bora za Hija Saudi Arabia
Jun 10, 2025 23:32Shirika la Hija la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetunukiwa Tuzo ya Labaytum kwa ubora katika Huduma kwa Mahujaji.
-
Nyaraka ilizopata Iran: Kuna ushirikiano wa siri baina ya Israel na wakala wa IAEA
Jun 10, 2025 08:35Nyaraka za siri ambazo Iran imefanikiwa kuzipata kutoka Israel zinaonyesha kuweko ushirikiano wa siri baina ya utawala haramu wa Israel na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Duru ya sita ya mazungumzo ya Iran na Marekani kufanyika Jumapili ijayo
Jun 10, 2025 08:34Duru ya sita ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya Iran na Marekani yanatajiwa kufanyika Jumapili ijayo huko Muscat Oman.
-
SEPAH: Sasa makombora ya Iran yatapiga shabaha za Israel kwa usahihi zaidi
Jun 10, 2025 04:11Meja Jenerali Hossein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa sasa Jamhuri ya Kiislamu itaweza kupiga maeneo nyeti mmno ya Israel kwa usahihi zaidi baada ya vikosi vya kiintelijensia vya Iran kufanikiwa kukomba hazina kubwa ya taarifa za siri mno za utawala wa Kizayuni na kuzihamishia nchini Iran.
-
Iran: Tutapiga vituo vya siri vya nyuklia vya Israel iwapo tutashambuliwa
Jun 09, 2025 23:33Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) limeonya kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itavishambulia vituo vya siri vya nyuklia vya Israel iwapo utawala huo wa Kizayuni utafanya kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya taifa hili.
-
Eslami: Iran haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya kisiasa ya kiholela
Jun 09, 2025 22:47Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, Mohammad Eslami amesisitiza ulazima wa kuendelea kurutubishwa Iran madini ya urani na kusema, "Watu milioni moja hutumia bidhaa zetu za dawa zenye mionzi kila mwaka.
-
Je, ni malengo gani yanafuatiliwa na Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran?
Jun 09, 2025 22:44Licha ya malengo ya uhasama ya Marekani na Troika ya Ulaya, lakini Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendeleza mafanikio yake ya nyuklia katika nyanja mbalimbali.
-
Iran: Ni kwa manufaa ya US kulichukulia kwa uzito pendekezo letu
Jun 09, 2025 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amesema Tehran hivi karibuni itawasilisha pendekezo lake kuhusu makubaliano ya nyuklia kupitia Oman, akitoa wito kwa Washington kutopoteza fursa hii, na kulichukulia kwa uzito pendekezo la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Nyaraka za siri tulizopata zina taarifa kuhusu vituo vya nyuklia vya Israel
Jun 09, 2025 03:49Esmail Khatib, Waziri wa Usalama wa Taifa wa Iran, amesema kuwa nyaraka za siri ambazo Iran imefanikiwa kuzipata kutoka Israel, zinahusiana moja kwa moja na taarifa nyeti kuhusu miundombinu ya nyuklia ya utawala huo ghasibu na zinaimarisha uwezo wa Iran kuhujumu.
-
Iran yaonya italipiza kisasi iwapo IAEA itapitisha azimio dhidi yake
Jun 09, 2025 03:34Iran imeonya kuwa itachukua hatua za kulipiza kisasi endapo Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) itapitisha azimio dhidi yake katika kikao chake cha leo Jumatatu.