Iran
  • Iran yalaani hujuma ya Marekani dhidi ya Yemen, yamuonya Trump

    Iran yalaani hujuma ya Marekani dhidi ya Yemen, yamuonya Trump

    Mar 18, 2025 04:23

    Iran imekemea kwa nguvu madai ya hivi karibuni yaliyotolewa na viongozi wa juu wa utawala wa rais wa Marekani Donald Trump na kuyataja kuwa ni "yasiyo na msingi" kabisa huku ikilaani mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen. 

  • Umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa Iran na India katika nyanja mbalimbali

    Umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa Iran na India katika nyanja mbalimbali

    Mar 18, 2025 01:14

    Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa X akiashiria historia ndefu ya uhusiano kati ya nchi mbili za Iran na India kwamba: Uhusiano huu umekuwa muhimu sana katika kuandaa mazingira ya kuimarishwa ushirikiano wa pande zote.

  • Iran: Tumefanya mazungumzo mazuri na IAEA kuhusu nyuklia

    Iran: Tumefanya mazungumzo mazuri na IAEA kuhusu nyuklia

    Mar 17, 2025 22:43

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya Sheria na ya Kimataifa amesema kuwa, mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, Rafael Mariano Grossi, yalikuwa ya wazi na ya maana.

  • Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana

    Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana

    Mar 17, 2025 08:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana yaani sambamba na kubainisha kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo, wakati huo huo vikwazo vikubwa vinawekwa kwa sekta mbalimbali za kibiashara na uzalishaji za Iran.

  • Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani

    Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani

    Mar 17, 2025 06:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi

    Mar 17, 2025 02:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.

  • Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina

    Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina

    Mar 16, 2025 23:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma za majeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen na kusema kuwa, mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kuendelea mauaji na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Salami: Tishio lolote dhidi ya Iran litakabiliwa na jibu la kuumiza

    Salami: Tishio lolote dhidi ya Iran litakabiliwa na jibu la kuumiza

    Mar 16, 2025 08:14

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba, Iran itatoa jibu la maangamivu kwa tishio lolote iwapo litatekelezwa kivitendo dhidi ya taifa hili.

  • Iran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani

    Iran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani

    Mar 16, 2025 02:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akisisitiza kuwa, Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani za kigeni.