-
Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika
Aug 09, 2024 03:49Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina kikomo wala mipaka katika kuimarisha na kupanua uhusiano wake na nchi za bara Afrika.
-
Iran: Kuchaguliwa al Sinwar kunadhihirisha matumaini, umoja na nguvu ndani ya Hamas
Aug 08, 2024 23:18Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuchaguliwa Yahya al Sinwar kuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kunaonyesha umoja na uwezo wa harakati hiyo ya muqawama mkabala wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Muhammad Eslami: Sera za milango wazi zipo katika ajenda ya kazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 08, 2024 23:17Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kuwa inaficha sekta yake ya nyuklia, ilhali Tehran inatekeleza sera za milango wazi katika ajenda yake.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni utaweza kudhibitiwa tu kwa kuchukuliwa hatua kali dhidi yake
Aug 08, 2024 07:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni mtenda jinai utaweza kudhibitiwa iwapo tu kutachukuliwa hatua kali dhidi yake na kulazimishwa kwa nguvu kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Ofisi ya Kudumu ya I.R.Iran UN: Iran itaifanya Israel ijutie uchokozi wa kigaidi iliofanya
Aug 08, 2024 03:35Ofisi ya Uwakilishi wa Kudumu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imesema Tehran itaufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ujutie kitendo cha uchokozi wa kigaidi uliofanya hivi karibuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu uliopelekea kuuawa shahidi kiongozi mkuu wa Hamas, Ismail Haniya.
-
Rais Pezeshkian: Kama kweli Wamagharibi wanataka amani, basi waache kuwaunga mkono Wazayuni
Aug 08, 2024 00:04Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haki ya Iran ya kujibu ipasavyo jinai ya utawala wa Kizayuni na kueleza kwamba, iwapo Wamagharibi wanataka kuzuia ukosefu wa usalama katika eneo, wanapaswa kuacha mara moja kuwaunga mkono Wazayuni.
-
Iran yalaani nchi za Magharibi kukosa uungwana mbele ya jinai za Israel
Aug 07, 2024 23:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezilaumu nchi za Magharibi na kusema kuwa zimepoteza heshima na itibari yao mbele ya vita vya Ghaza na zimeshindwa kuonesha hata uungwana wa kiwango cha chini kabisa katika vita hivyo.
-
Sergei Shoigu: Ushirikiano wa Tehran na Moscow unaongezeka
Aug 07, 2024 07:54Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema kuwa ushirikiano kati ya Tehran na Moscow unaendelea kupanuka.
-
Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel
Aug 07, 2024 03:36Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Israel ndio chanzo halisi cha ukosefu wa utulivu katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapata ujasiri wa kutenda jinai na vitendo vyake vya kigaidi kutokana na kimya cha nchi za Ulaya.
-
Mahakama: Iran itatumia uwezo wake wote kujibu mauaji ya Haniyah
Aug 06, 2024 22:58Msemaji wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatumia uwezo wake wote kulipiza kisasi cha mauaji ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), akiwa mjini Tehran.