-
Araqchi na Abdul Ati wakubaliana kuimarishwa uhusiano wa Iran na Misri
Dec 23, 2025 23:28Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Misri wamekubaliana kwa njia ya simu kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Tehran na Cairo na matukio muhimu ya kieneo na kimataifa.
-
"Uwezo wa makombora ya Iran umeimarika, tayari kukabili adui"
Dec 23, 2025 23:10Msemaji wa Jeshi la Iran amesema kwamba, uwezo wa vikosi vya majini, ardhini, na makombora vya Jamhuri ya Kiislamu viko tayari kikamilifu kukabiliana na senario yoyote tarajiwa ya adui, akisisitiza kwamba Tehran bado haijatumia nguvu yake halisi ya makombora.
-
Utayari wa Iran wa kuanzisha mtandao wa nchi za Kiislamu wa bioteknolojia na kuimarisha usalama wa chakula
Dec 23, 2025 23:08Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Bioteknolojia ya Kilimo ya Iran ametangaza utayari wa kuanzisha mtandao wa pamoja wa ushirikiano wa kisayansi na utafiti na nchi za Kiislamu katika sekta ya usalama wa chakula.
-
Rais Pezeshkian awasilisha rasimu ya bajeti katika Bunge la Iran
Dec 23, 2025 10:03Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amewasilisha rasimu ya bajeti ya mwaka ujao wa kifedha wa Iran (kuanzia Machi 21, 2026) katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran).
-
Meja Jenerali Hatami: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za adui
Dec 22, 2025 23:46Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tunafuatilia kwa karibu hatari na nyendo kwa umakini mkubwa.
-
Mtafiti mwanamke wa Kiirani ashinda tuzo ya utafiti ya COMSTECH ya mwaka 2025
Dec 22, 2025 23:45Mwanamke mtafiti Muirani amechaguliwa kuwa mmoja wa wapokeaji wa Mpango wa Tuzo ya Utafiti kwa Watafiti Vijana Wanawake wa COMSTECH kwa mwaka wa 2025.
-
Baqaei: Uwezo wa kujihami wa nchi si wa kujadiliwa; Vikosi vya ulinzi vimejiandaa kikamilifu kulilinda taifa
Dec 22, 2025 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa uwezo wa kiulinzi wa nchi hii kimsingi umeratibiwa kwa lengo la kuzuia mashambulizi yoyote ya wavamizi na si suala la kujadiliwa.
-
Meli za kivita za Iran zaelekea Afrika Kusini kushiriki mazoezi ya kijeshi ya BRICS
Dec 22, 2025 04:01Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesifu “kuongezeka kwa uwepo wa Iran baharini” nje ya eneo la Asia Magharibi, akitangaza kwamba meli kadhaa za kivita za jeshi hilo zinaelekea Afrika Kusini.
-
Mkuu wa Majeshi ya Iran: Israel hutekeleza mashambulizi dhidi ya Wayahudi ili wengine walaumiwe
Dec 22, 2025 03:58Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa utawala wa Israel unatekeleza mashambulizi ya “kujidhuru” dhidi ya jumuiya za Wayahudi maeneo mbali mbali duniani ili kuchochea hofu ya chuki dhidi ya Wayahudi.
-
Iran yatengeneza kifaa cha kugundua saratani ya matiti kwa sekunde 15
Dec 22, 2025 03:58Iran imezindua kifaa kipya cha kusaidia upasuaji wa saratani ya matiti kinachoitwa Cancer Diagnostic Probe (CDP), ambacho kinapunguza muda wa kugundua mipaka ya tishu zilizoathirika kutoka dakika 45 hadi sekunde 15 pekee.