-
Russia yasisitizia tena haki ya Iran ya kunufaika na nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
Jan 20, 2026 23:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitizia tena haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Trump atishia kuiwekea Ufaransa ushuru wa 200% kumshinikiza Macron ajiunge na 'Bodi ya Ghaza'
Jan 20, 2026 23:08Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kukataa kujiunga na kile kinachoitwa "Bodi ya Amani" ya Washington kwa ajili ya Ghaza, huku mpango huo ukikabiliwa na ukosoaji mkubwa wa wataalamu wa sheria za kimataifa wanaouelezea kuwa ni upanuzi wa ukaliaji wa mabavu wa eneo hilo la Palestina unaofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Mchambuzi wa tiba wa CNN: Mpimeni Trump uzima wa akili
Jan 20, 2026 23:04Kufuatia vituko alivyofanya hivi karibuni Donald Trump kwa barua aliyomwandikia Waziri Mkuu wa Norway, Dk. Jonathan Reiner tabibu na mhadhiri katika Chuo Kikuu cha George Washington ametaka rais huyo wa Marekani apimwe uzima wa akili.
-
Mauaji ya kimbari ya sekta ya elimu huko Gaza: Walimu zaidi ya elfu moja wameuawa, sekta ya elimu imefungwa
Jan 20, 2026 07:38Ripoti ya pamoja ya Wizara ya Elimu na Elimu ya Juu ya Palestina imeripoti kuwa, kuanzia Oktoba 2023 hadi Oktoba 2025, walimu 1,377 na wafanyakazi wa elimu waliuawa shahidi na 4,757 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kikatili ya Israel huko Gaza.
-
Kiongozi wa zamani wa Burkina Faso akamatwa nchini Togo, anatuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi
Jan 20, 2026 07:15Rais wa zamani wa mpito wa Burkina Faso, anayedaiwa kuwa mpangaji mkuu wa njama kadhaa za mapinduzi, amekamatwa na kufukuzwa nchini Togo.
-
Zaidi ya magaidi 470 na vinara wa ghasia wakamatwa katika mikoa kadhaa ya Iran
Jan 20, 2026 06:53Maafisa wa usalama na taasisi za ujasusi za Iran zimewakamata zaidi ya watu 470 katika mikoa mitatu, waliotambuliwa kama watu muhimu na vinara wa wimbi la hivi karibuni la machafuko ya vurugu na harakati za kigaidi zinazohusiana na mitandao inayoungwa mkono na madola ya kigeni.
-
Waislamu wa India wapinga kuondolewa kwenye orodha ya wapiga kura kwa kisingizio kwamba wamekufa
Jan 20, 2026 06:52Waislamu wa India wamefanya maandamano katika mji wa Ahmedabad, kupinga kuondolewa majina yao kwenye orodha ya wapiga kura kwa kisingizio kwamba wamefariki dunia, ingawa bado wako hai.
-
Viongozi mashuhuri wa kidini Marekani walaani sera ya kigeni ya serikali ya Trump
Jan 20, 2026 06:51Viongozi kadhaa wakuu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani wametoa taarifa wakikosoa vikali sera ya mambo ya nje ya Washington na kusema kwamba nafasi yake ya kimaadili katika jukwaa la kimataifa inatiliwa shaka, kuhusiana na migogoro kama ya Ukraine, Venezuela na Greenland.
-
Muendelezo wa ushirikiano wa Tehran-Caracas; nembo ya muqawama dhidi ya mashinikizo ya Marekani
Jan 20, 2026 05:22Rais wa muda wa Venezuela amesisitiza kwamba, Caracas itaendeleza uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani tuhuma zisizo na msingi za Argentina dhidi ya IRGC
Jan 20, 2026 04:11Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani uamuzi wa hivi karibuni wa Argentina wa kuituhumu sehemu ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), na kuutaja uamuzi huo kuwa usioweza kuhalalishwa, na ni hatari kwa usalama wa taifa.