-
Jeshi la Kongo laukomboa mji wa mashariki wa Uvira kutoka kwa waasi wa M23
Jan 20, 2026 03:47Vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vimeudhibiti tena mji wa mashariki wa Uvira baada ya waasi wa kundi la M23 kuondoka katika mji huo.
-
Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC: Wapiganaji wa RSF walichimba makaburi ya halaiki ili kuficha uhalifu wa kivita
Jan 20, 2026 02:03Nazhat Shameem Khan, Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), amelituhumu kundi la Rapid Support Forces (RSF) kuwa limechimba makaburi ya halaiki ili kuficha "uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu" uliofanywa katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Michael McCaul: Uvamizi wa Marekani dhidi ya Greenland una maana ya vita na NATO/The Economist: Uchoyo wa Trump utaiangamiza NATO
Jan 20, 2026 02:03Mbunge mmoja wa Marekani ameutaja uvamizi wa nchi hiyo dhidi ya Greenland kuwa utakuwa "vita dhidi ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi, NATO."
-
Araqchi alikosoa Kongamano la Uchumi la Dunia kwa kufuta mwaliko wake huko Davos
Jan 20, 2026 02:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelikosoa Kongamano la Uchumi la Dunia kwa kufuta mwaliko wake wa kuhudhuria Mkutano wa Davos.
-
Rais Pezeshkian: Matukio ya hivi karibuni Iran yalikuwa mwendelezo wa njama zilizoshindwa za Marekani na Israel katika vita vya siku 12
Jan 20, 2026 00:46Rais Masoud Pezeshkian amesema kuwa, matukio ya hivi karibuni nchini Iran yalikuwa mwendelezo wa njama zilizofeli za Marekani na utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 dhidi ya taifa hili.
-
Lieberman: Makombora ya Iran yamebadilisha kanuni za vita na hatujajiandaa kukabiliana nayo
Jan 20, 2026 00:45Kiongozi wa chama cha Yisrael Beiteinu, Avigdor Lieberman, ameonya kuhusu tishio linaloongezeka la Iran, akidai kwamba, makombora ya Iran yamebadilisha kanuni za vita na kutoa wito wa maandalizi ya kuhamisha vituo nyeti vya kimkakati kwa kutarajia mzozo wowote tarajiwa.
-
Palestina: Idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa vilema inaongezeka
Jan 19, 2026 22:41Mkuu wa idara ya habari ya Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza ametangaza kuwa, idadi ya watoto wanaozaliwa wakiwa vilema inazidi kuongezeka katika Ukanda huo unaokabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Sudan
Jan 19, 2026 22:41Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Sudan huku vita vya wenyewe kwa wenyewe vikiendelea nchini humo.
-
Baraza la Katiba CAR lamtangaza Rais Faustin-Archange Touadéra kuwa alishinda uchaguzi
Jan 19, 2026 22:40Baraza la Katiba nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, limetangaza mnamo Januari 19, 2026, kuchaguliwa tena Rais Faustin-Archange Touadéra kwa muhula wa tatu.
-
Je, Trump anajaribu kufidia udhalilishaji wa kihistoria iliofanyiwa Marekani 2016 na Iran?
Jan 19, 2026 22:38Tarehe 12 Januari (Dei 22) ni ukumbusho wa siku ambayo wanajeshi wa Marekani walitekwa na majeshi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.